ha ha ha - ameukana UGAIDI kwa mara nyingine - pia kuuthibitisha huo uhalifu ametoa hajaweza.Kibatala: Pamoja na Kukwambia Taarifa za Ugaidi bado Ukapokea Fadhila zake
Shahidi: Siyo Taarifa za Ugaidi, Ni Uhalifu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha - ameukana UGAIDI kwa mara nyingine - pia kuuthibitisha huo uhalifu ametoa hajaweza.Kibatala: Pamoja na Kukwambia Taarifa za Ugaidi bado Ukapokea Fadhila zake
Shahidi: Siyo Taarifa za Ugaidi, Ni Uhalifu tu
Njia ya muongo ni fupi sana huyo Lt Urio ameumbuka vibayaPATAMU HAPA *
Kibatala: Si upige Hesabu Kutoka Tarehe 18 July 2020 Mpaka 24 July 2020 ni Siku ngapi
Shahidi: Sifahamu
Kibatala: Ni sahihi Kwamba Umeanza Kuwakusanya hawa baada ya Tarehe 20 July 2020
Shahidi: Ni sahihi
Kibatala: Na wewe ndiyo Ulikuwa Unawafahamu hawa wala Siyo Mbowe
Shahidi: Ndiyo
Kibatala: Unaweza Kutuisaidia Kuwa Kwanini Inspector Swila alifungua Faili la Kula Njama Tarehe 18 July 2020 Wakati Wakati Umekutana hawa Vijana Tarehe 20 Mpaka 24
Shahidi: Sijui sasa
Akina kingai mahita na wenzao waliotengeneza kesi ya mchongo wanajuuta kumleta Lt Urio mahakamani kwani amewaumbua sanaha ha ha - ameukana UGAIDI kwa mara nyingine - pia kuuthibitisha huo uhalifu ametoa hajaweza.
Hapana wanajua snAwajui kwa sababu wanaamini ushirikina
Aibu kubwa kwa jwtz
Anaemjua Mungu uzishika amri zakeHapana wanajua sn
Huyu jamaa atakuwa kala kisago kitakatifu kutoka kina Kingai hadi kakubali kutoa ushahidi huu, tumwonee huruma.Akina kingai mahita na wenzao waliotengeneza kesi ya mchongo wanajuuta kumleta Lt Urio mahakamani kwani amewaumbua sana
Wengi mnakosa ufahamu na mambo ya mahakama, shahidi sio mwehu kujibu hivyoWe mtu anaulizwa mlipokutana na Mbowe ulikua sober?
Na yeye urio akajibu sijui Kama Ile sehemu tuliyokutana inaitwa Sober [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Narudia tena shahidi sio mwehu
Kusaidia kufanikisha uhalifu ni sawa na kushiriki katika kutenda huo uhalifu...accessory to the crime is the same as committing the crime
Ni mwehu kama hakuelewa swali aneomba ufafanuzi...kwa jibu lake amedhibitisha udhaifu wake...na ametia mashaka uelewa wake..si ajabu angeulizwa "je mlipokutana na Mbowe alikufahamisha nia yake ya ku create chaos nchi nzima' angejibu " hapana mimi aliniambia tu anataka kusababisha taharuki nchi nzima na sio mambo ya ku create chaos"....na bado ungefikiri shahidi sio mburura!Narudia tena shahidi sio mwehu
Lugha gongana, wanazidi kujiweka uchi wa mnyama
Urio kachemka vibaya sana.Urio aliwatumia makomandoo Kama chambo ya kumkamata Mbowe.
Hivi kusema "muda umeisha" ndio kupanga ugaidi kweli nchi inahitaji kufumua mitaali na kuleta mipya Elimu ya watanzania sio Elimu ni upuuzi na kujaza kundi kubwa la watu ujinga tu.Anasema uthibitisho wa Ugaidi wa Mbowe Ni msg iliyoandikwa 'Muda umeisha' [emoji1][emoji1][emoji1]
🤣🤣🤣🤣🤣Hivi kusema "muda umeisha" ndio kupanga ugaidi kweli nchi inahitaji kufumua mitaali na kuleta mipya Elimu ya watanzania sio Elimu ni upuuzi na kujaza kundi kubwa la watu ujinga tu.
maoni au hakika?Hivi kusema "muda umeisha" ndio kupanga ugaidi kweli nchi inahitaji kufumua mitaali na kuleta mipya Elimu ya watanzania sio Elimu ni upuuzi na kujaza kundi kubwa la watu ujinga tu.