Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Huyu Tangu awali alikuwa mtuhumiwa, walipokosekana mashahidi wa kuonesha Mbowe aliwahi kupanga mipango ya ugaidi ikabidi abadilishwe kama yule houseboy wa Sabaya.Kwann kawekwa lock up sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Tangu awali alikuwa mtuhumiwa, walipokosekana mashahidi wa kuonesha Mbowe aliwahi kupanga mipango ya ugaidi ikabidi abadilishwe kama yule houseboy wa Sabaya.Kwann kawekwa lock up sasa?
Kwahiyo anatokea lock up ya jeshi la polisi au Jwtz?Amelazimishwa kutoa ushahidi wa Uongo kwa masharti , huyu alikamatwa na kuteswa pia , lengo la kumtafutia walinzi Mbowe likageuzwa mchongo kwake
Ni mara 100 hao waliompandikizia kwsi mbowe wasingeweka jamaa kama hilo aisee. Anaonekana kabisa kamezeshwa ya kujibu. Yakimkuta maswali ya papo hapo anaweweseka na kupanick.Nasikia wapo kama 24 ila huyu boya ni shahidi wa 12 na ndio alikuwa makao makuu ya mashahidi wote hao wengine ni matawi tu,na yeye ndio alijinasibu kupewa kazi nzito na Mwamba ya kutafuta 'magaidi' na kwamba amefanya vikao vya faragha kupanga mikakati ya kutwaa nchi.
Matokeo yake kaishia kunywa Malta na kutuletea porojo za 'muda umekwisha mara sijui mtu tatu' na kuwachomekea kesi nzito vijana wasio na hatia waliokuwa wanajitafutia kwa ajili ya familia zao.
😂😂😂 Kwa hali hiyo mashahidi wanaweza kua hata 200.Jamhuri Ina mashahidi 💯 wenye ushahidi strong wa kumtia Mbowe hatiani na hachomoki,kutoka jamhuri ya Wadanganyika tunaendelea kuwaletea mashahidi wa mchongo
Keep waiting!
(In kamanda Zerro voices)
😁😁😁😁😁
Hajaonyesha “consistency” kwenye majibu yake hivyo shahidi huyu siyo “credible” hata kidogo.Jaji naye fala tu,shahidi kaonekana ni mwongo lakini hatari watu wamuumbue uwongo zaidi na zaidi
Mkuu achana nao= wamechanganyikiwa maana Mbowe wao amekamatwa kama juju na atafungwa kijinga ila kwa ushahidi usio na chembeKwann kawekwa lock up sasa?
Story gani ya Willy Gamba imerejewa? Unasoma lakini huelewi “context”. Pole yako.Wengi wanaojadili hapa wamesahau ishu nzima ilivyo
Wamebeba ushabiki mpaka hawaoni ujinga wa upande wa kina kibatala
Mtu anarejea stori za willy gamba halafu anajiita msomi
Kwamba dunia inamfuatilia Mbowe kwa lipi? Na kwamba inaweza kuizuia Tanzania kumfunga?! Ndiyo kinga yenu? Muulize X mass aliiilia wapi na leo analala wapi? Hii kesi mpaka 2026Kufungwa hawezi maana wanajua dunia inafuatilia,huoni Hangai anavyohangaika namna ya kumaliza kesi?
Huyu atapigwa za uso hadi wiki ijayo, usihofu Mtobesya atakuwepoKwangu, kutomuona MTOBESYA, najiona napungukiwa kitu fulani hivi!
Mtamuita hata Lissu ILA Mbowe hachomokiHuyu atapigwa za uso hadi wiki ijayo, usihofu Mtobesya atakuwepo
Kulala sio hoja,hoja ni kufungwa/kuhukumiwa.Kwamba dunia inamfuatilia Mbowe kwa lipi? Na kwamba inaweza kuizuia Tanzania kumfunga?! Ndiyo kinga yenu? Muulize X mass aliiilia wapi na leo analala wapi? Hii kesi mpaka 2026
Kwa mtiririko Wa kesi nilivyoufwatilia toka inaanza napinga Mbowe Na hao makomandoo kuwa ndan mpaka muda huu maana sioni kosa lao, nimemuuliza hivyo kwakuwa napenda kujua zaidi, tofauti Na ww umekalia kusema tu "afungwe afungwe " au ww ndio mke wa Sabaya unataka kulipa kisasi?Mkuu achana nao= wamechanganyikiwa maana Mbowe wao amekamatwa kama juju na atafungwa kijinga ila kwa ushahidi usio na chembe
Wamekumbushwa
askari hawezi kuwa raia ila raia anaweza kuwa askari
Siro=ZeroLakini Siro alisema wana ushahidi mzito
Wewe kama hufuatilii haya mambo utatusumbua tu .Kwahiyo anatokea lock up ya jeshi la polisi au Jwtz?
Majushaa wengi walikaa jela, ni kazi ngumu kusimamia kile unachokiamini kuwa umezaliwa kufanya.Kwamba dunia inamfuatilia Mbowe kwa lipi? Na kwamba inaweza kuizuia Tanzania kumfunga?! Ndiyo kinga yenu? Muulize X mass aliiilia wapi na leo analala wapi? Hii kesi mpaka 2026
Majushaa wengi walikaa jela, ni kazi ngumu kusimamia kile unachokiamini kuwa umezaliwa kufanya.
Kwani gerezani ni kuzimu, tofauti ya kukaa gerezani na hospital ni ipi?.
Huwezi kufanikia bila kudhauliwa na kuteseka.
Yeye anaye mtesa Mbowe ndiyo ana wasiwasi sasa zaidi ya Mbowe.
Hii ni ushujaa kwake maana anasimamia anachokiamini, Kujipendekeza maana yake ni kukosa maono na kutojitambua umezaliwa ufanye nin hapa duniani.
Jitu zima unawaza Kristmas?
Naona unampangia Muumba? Ushasahau juzijuzi mlimpamba Magufuli kutawala misimu apendayo, yu wapi sasa kutawala hadi 2050?Kwamba dunia inamfuatilia Mbowe kwa lipi? Na kwamba inaweza kuizuia Tanzania kumfunga?! Ndiyo kinga yenu? Muulize X mass aliiilia wapi na leo analala wapi? Hii kesi mpaka 2026
SureHAmelazimishwa kutoa ushahidi wa Uongo kwa masharti , huyu alikamatwa na kuteswa pia , lengo la kumtafutia walinzi Mbowe likageuzwa mchongo kwake
Ni mara 100 hao waliompandikizia kwsi mbowe wasingeweka jamaa kama hilo aisee. Anaonekana kabisa kamezeshwa ya kujibu. Yakimkuta maswali ya papo hapo anaweweseka na kupanick.
Ushahidi wa urio umeishia hapa kwamba pamoja na yote aliyokuja nayo, hana namna yoyote ya kudhibitisha mipango ya kigaidi ya mbowe kwaiyo mbowe anaweza kuyakana hayo maneno na urio akakosa udhibitisho.Matata: Freeman Mbowe akikataa leo hakusema, Ni ushahidi gani unao mbele ya Mahakama Kwamba Mbowe alisema hayo maneno uliyosema??
Shahidi: Ni ushahidi wa meseji ya kusema "muda umeisha"