Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

Amelazimishwa kutoa ushahidi wa Uongo kwa masharti , huyu alikamatwa na kuteswa pia , lengo la kumtafutia walinzi Mbowe likageuzwa mchongo kwake
Kwahiyo anatokea lock up ya jeshi la polisi au Jwtz?
 
Ni mara 100 hao waliompandikizia kwsi mbowe wasingeweka jamaa kama hilo aisee. Anaonekana kabisa kamezeshwa ya kujibu. Yakimkuta maswali ya papo hapo anaweweseka na kupanick.
 
Jamhuri Ina mashahidi 💯 wenye ushahidi strong wa kumtia Mbowe hatiani na hachomoki,kutoka jamhuri ya Wadanganyika tunaendelea kuwaletea mashahidi wa mchongo
Keep waiting!
(In kamanda Zerro voices)
😁😁😁😁😁
😂😂😂 Kwa hali hiyo mashahidi wanaweza kua hata 200.
 
Jaji naye fala tu,shahidi kaonekana ni mwongo lakini hatari watu wamuumbue uwongo zaidi na zaidi
Hajaonyesha “consistency” kwenye majibu yake hivyo shahidi huyu siyo “credible” hata kidogo.

Shahidi huyu, if anything, kathibitisha kuwa kesi hii ni kubumba. Najiuliza sijui CDF ana maoni gani kuhusu hii kesi na ushahidi wa kijana wake.
 
Kwann kawekwa lock up sasa?
Mkuu achana nao= wamechanganyikiwa maana Mbowe wao amekamatwa kama juju na atafungwa kijinga ila kwa ushahidi usio na chembe
Wamekumbushwa
askari hawezi kuwa raia ila raia anaweza kuwa askari
 
Kufungwa hawezi maana wanajua dunia inafuatilia,huoni Hangai anavyohangaika namna ya kumaliza kesi?
Kwamba dunia inamfuatilia Mbowe kwa lipi? Na kwamba inaweza kuizuia Tanzania kumfunga?! Ndiyo kinga yenu? Muulize X mass aliiilia wapi na leo analala wapi? Hii kesi mpaka 2026
 
Kwamba dunia inamfuatilia Mbowe kwa lipi? Na kwamba inaweza kuizuia Tanzania kumfunga?! Ndiyo kinga yenu? Muulize X mass aliiilia wapi na leo analala wapi? Hii kesi mpaka 2026
Kulala sio hoja,hoja ni kufungwa/kuhukumiwa.

Dunia inamfuatilia ndio,kwa lipi!? Wewe kwa akili yako unafikiri Mbowe uko duniani ni km Sabaya au Makonda!?

Mtu anaejadiliwa mpaka kwenye bunge la ulaya na anafuatiliwa na mabalozi wa nchi fadhili km bado unamuona ni sawa na wewe basi rudi kasome upya shileni
 
Mkuu achana nao= wamechanganyikiwa maana Mbowe wao amekamatwa kama juju na atafungwa kijinga ila kwa ushahidi usio na chembe
Wamekumbushwa
askari hawezi kuwa raia ila raia anaweza kuwa askari
Kwa mtiririko Wa kesi nilivyoufwatilia toka inaanza napinga Mbowe Na hao makomandoo kuwa ndan mpaka muda huu maana sioni kosa lao, nimemuuliza hivyo kwakuwa napenda kujua zaidi, tofauti Na ww umekalia kusema tu "afungwe afungwe " au ww ndio mke wa Sabaya unataka kulipa kisasi?
Samahani lakin mkuu.
 
Kwamba dunia inamfuatilia Mbowe kwa lipi? Na kwamba inaweza kuizuia Tanzania kumfunga?! Ndiyo kinga yenu? Muulize X mass aliiilia wapi na leo analala wapi? Hii kesi mpaka 2026
Majushaa wengi walikaa jela, ni kazi ngumu kusimamia kile unachokiamini kuwa umezaliwa kufanya.
Kwani gerezani ni kuzimu, tofauti ya kukaa gerezani na hospital ni ipi?.
Huwezi kufanikia bila kudhauliwa na kuteseka.
Yeye anaye mtesa Mbowe ndiyo ana wasiwasi sasa zaidi ya Mbowe.
Hii ni ushujaa kwake maana anasimamia anachokiamini, Kujipendekeza maana yake ni kukosa maono na kutojitambua umezaliwa ufanye nin hapa duniani.
Jitu zima unawaza Kristmas?
 
Kwamba dunia inamfuatilia Mbowe kwa lipi? Na kwamba inaweza kuizuia Tanzania kumfunga?! Ndiyo kinga yenu? Muulize X mass aliiilia wapi na leo analala wapi? Hii kesi mpaka 2026
Naona unampangia Muumba? Ushasahau juzijuzi mlimpamba Magufuli kutawala misimu apendayo, yu wapi sasa kutawala hadi 2050?
 
Matata: Freeman Mbowe akikataa leo hakusema, Ni ushahidi gani unao mbele ya Mahakama Kwamba Mbowe alisema hayo maneno uliyosema??

Shahidi: Ni ushahidi wa meseji ya kusema "muda umeisha"
Ushahidi wa urio umeishia hapa kwamba pamoja na yote aliyokuja nayo, hana namna yoyote ya kudhibitisha mipango ya kigaidi ya mbowe kwaiyo mbowe anaweza kuyakana hayo maneno na urio akakosa udhibitisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…