Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

Mkuu achana nao= wamechanganyikiwa maana Mbowe wao amekamatwa kama juju na atafungwa kijinga ila kwa ushahidi usio na chembe
Wamekumbushwa
askari hawezi kuwa raia ila raia anaweza kuwa askari
Ukiweka mahaba pembeni,ukawa mtu huru!Mpaka Sasa Kwa ushahidi wa watu hao 12,je Kuna ushahidi wowote umeridhika nao kuwe Mbowe alipanga ugaidi?Unaweza kumuhukumu Mbowe Kwa ushahidi uliotolewa so far?
 
Kwa ushahidicwa huyu jamaa inaonekana wazi kua wameshindwa mbinu ya kuwatia hatiani washtakiwa wengine na pia wameona wazi kua zigo la nnya litawaangukia kwa kuwatesa, huyu boya anaonekana kung'aata huku anapulixa japo hajui hata kitu anademkademka tu hapo.

Nadhani nia na madhumuni ya huyu boya ni kumtia mbowe hatiani, lakini kwa bahati mbaya shahidi hana ushahidi wowote zaidi ya ivyo vimeseho ambavyo hata mi na mchizi wangu tunaweza kutumiana na hata akinishtaki kisitokee chochote kile.

Huyu boya kafeli sana.
 
Huyu Tangu awali alikuwa mtuhumiwa, walipokosekana mashahidi wa kuonesha Mbowe aliwahi kupanga mipango ya ugaidi ikabidi abadilishwe kama yule houseboy wa Sabaya.
Yule KAAYA? NI KWELI MKUU
 
Ila hawa askari wanadhalilishwa kwa kesi ya ajabu sana.
Na msingi wa kesi hi ni mtu muovu kabisa kuwahi kutokea katika nchi hi toka kuumbwa kwa dunia.
Huyo ndio alianzisha uonevu wa wazi kabisa dhidi ya wapinzani.
Na hii kesi ndio moja ya project za muovu huyo ikifuatiawa na kusudio la kumuua Lisu.
Haya yote yaliratibiwa na wapendwa wa mtu yule.
 
Hao wote kazi ya kingai. Kuna mambo unafanya mpaka unahofia familia Yako.

Makomando kabisa umewabambikia kesi.

Maisha yenu yapo hatarini

Sure. Muda mliowapotezea haulipiki
 

Wenzangu wenye ufinyu wa ufaham wa kisheria awali tumekuwa gizan gizan hivi kwene dilemma kubwa ya upande upi tuugemee wenye ukwel kuhusiana na hii kesi.
Na ingawa sheria cjui,lkn kusoma najua....kwa ushahid wa huy Uriyyo kipichapicha kimeanza kureta sura ya kilichofanyka,kinachofanyka na huenda kitachofanyka.
Eti mutu unakusanya watu kwa ushawishi wa kaz ya ujeda,halaf unawaripot kam magaidii. Mbaya mno ww mchora mchongo mwenyew unageuka kuwa kundi la kuwashtak
Hii nadhan unaipat tanznia tu dunia nzima🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Bosi na mfadhili wa kund la ugaid kugeuka shahid asaidie memba wake kufungwa,tena akiaminiwa na serikal🤭🤭🤭🤭
 
Mbona Hawa wameru wanatumika sana kijinga.Kuna huyu Urio na na yule mwingine Kaaya.Mimi Nina makazi yangu Arumeru,maji ya chai.Nichelee tu kusema Wameru ni watu wanafiki sana,Wana roho mbaya na wanatamaa ya pesa.Unaweza Kuta jitu linakwenda kanisani Kila jumapili Lakini hapa linashuhudia uongo😠
 
CDF anahusikaje sasa? JWTZ siyo kama CHADEMA kesi ya Mbowe mnageuza kuwa kesi ya CHADEMA
 
KWA HIYO MBOWE ALIJITENGENEZEA KESI ILI AWE SHUJAA? AFUNGWE KAMA MANDELA AKITOKA AWE RAIS?
 
Ukiweka mahaba pembeni,ukawa mtu huru!Mpaka Sasa Kwa ushahidi wa watu hao 12,je Kuna ushahidi wowote umeridhika nao kuwe Mbowe alipanga ugaidi?Unaweza kumuhukumu Mbowe Kwa ushahidi uliotolewa so far?
Kesii no full michongo na wanao shuhudia Unaitwa weledi wa kitanzania.
 
Huyu jamaa kaamua kuharibu hii kesi makusudi kabisa.
Sasa kesi ya kutunga unategemea angefanya nini. Ingewezekana tu kama akina Kibatala wange kuwa ni part ya huo Mpango. Sirro na akili yake hawakuiona hilo na Maza akabariki. Sijui walifikiri hii itakuwa kama zile kesi za mitaani wanazobambikia watu...!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…