Wenzangu wenye ufinyu wa ufaham wa kisheria awali tumekuwa gizan gizan hivi kwene dilemma kubwa ya upande upi tuugemee wenye ukwel kuhusiana na hii kesi.
Na ingawa sheria cjui,lkn kusoma najua....kwa ushahid wa huy Uriyyo kipichapicha kimeanza kureta sura ya kilichofanyka,kinachofanyka na huenda kitachofanyka.
Eti mutu unakusanya watu kwa ushawishi wa kaz ya ujeda,halaf unawaripot kam magaidii. Mbaya mno ww mchora mchongo mwenyew unageuka kuwa kundi la kuwashtak
Hii nadhan unaipat tanznia tu dunia nzima🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Bosi na mfadhili wa kund la ugaid kugeuka shahid asaidie memba wake kufungwa,tena akiaminiwa na serikal🤭🤭🤭🤭