Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

Ninavyoona Urio ni mhanga... Anatia huruma sana. Hasa pale Aliposema Kibatara kuwa hatokei kwake wala Hotelini. Nahisi anahitaji kuonewa huruma pia. Kwa alivyokuwa na ushikaji na hao washtakiwa wengine, anaonekana amelazimishwa. Namuombea kwa Mungu, ameyafanya haya kutunza uhai wake maskini.
Urio yupo kwenye jela za jwtz yupo chini ya Ulinzi hayupo huru hata ushahidi anaoutoa ni wa maelekezo ya kuwalinda akina kingai mahita na watesi wenzao ni vyema Serikali wangefuta hiyo kesi kuepuka fedheha zaidi
 
Kama ni hivyo hao makomandoo wamekamatwa kwa nini?. Maana hao walienda kufanya kazi ya ulinzi na sio ugaidi. Sasa nani mbaya hapo?. Na hakuna sehemu walikaa kupanga ugaidi. Hapo wameonewa Sana.
hii ni movie ambayo hata layman wa mwakitolyo ameshatoa hukumu hana haja ya kumsubiri jaji
 
Uko sahihi. Kosa la Urio ni kumsaidia Mbowe wafanyakazi wa VIP PROTECTION. Yule mwendawazimu alipojua akafura na kuagiza akamatwe na kuteswa. Mateso ya Urio yatakuwa yalianza kabla ya akina Adamoo na wenzake. Hili jina lenyewe Urio, sio Urio sahihi. Usije shangaa akawa aliyeko mahakamani ni Linjenje[emoji2][emoji2]
Ninavyoona Urio ni mhanga... Anatia huruma sana. Hasa pale Aliposema Kibatara kuwa hatokei kwake wala Hotelini. Nahisi anahitaji kuonewa huruma pia. Kwa alivyokuwa na ushikaji na hao washtakiwa wengine, anaonekana amelazimishwa. Namuombea kwa Mungu, ameyafanya haya kutunza uhai wake maskini.
 
Dah sheria tamu sana aisee,
Cheki Urio hapa chini
''
Kibatala: Unaweza Kutuisaidia Kuwa Kwanini Inspector Swila alifungua Faili la Kula Njama Tarehe 18 July 2020 Wakati Wakati Umekutana hawa Vijana Tarehe 20 Mpaka 24

Shahidi: Sijui sasa

Kibatala: Je wewe Ulikula Njama na Mbowe.

Shahidi: Sijala Njama na Mbowe''
Hakika mungu kajua kuwaumbua watesi wote
 
Natamani km URIO abadilishwe tyuuh badala ya kutoa ushahidi yeye analivua nguo JWTZ. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaan anavyojibu hayo maswali mie ndo nachoka kabiaaaa.lol
Division four,28 pts,failure for food for four years ulitaka ajibuje
 
Uko sahihi. Kosa la Urio ni kumsaidia Mbowe wafanyakazi wa VIP PROTECTION. Yule mwendawazimu alipojua akafura na kuagiza akamatwe na kuteswa. Mateso ya Urio yatakuwa yalianza kabla ya akina Adamoo na wenzake. Hili jina lenyewe Urio, sio Urio sahihi. Usije shangaa akawa aliyeko mahakamani ni Linjenje[emoji2][emoji2]
LT Urio ni ndugu yake mbowe kiukoo na mbowe alimuomba amsaidie walinzi makomandoo wasitaafu kwa nia njema pasipo shaka akiwa na nia ya kujilinda dhidi ya hujuma tokea kwa Dc Sabaya ambaye baada ya kubaini hilo ndipo akatengeneza kesi ya mchongo ili kumdhoofisha mbowe lakini hao siyo magaidi na hakukuwa na ugaidi wowote ule
 
Unatembea kwenye nadahria yangu. Nahisi ni kweli Urio na Mbowe wameshawahi kusaliana na labda Urio ndio aliyempa Mbowe idea ya kuwa na walinzi. Akijua anatenda wema Kwa ndugu yake Mbowe lakini anawatafutia washkaji zake wanaoteseka mtaani kazi. Siamini kama alimaanisha kuwachoma. Ila katikati ndio akaingiziwa hii issue na hakuwa na jinsi.
Inatia huruma sana. Lakini yote huwa na mwisho. Nimemuonea huruma sana. Kulazimishwa uwasaliti wenzio sio kitu kidogo.
 
Urio yupo kwenye jela za jwtz yupo chini ya Ulinzi hayupo huru hata ushahidi anaoutoa ni wa maelekezo ya kuwalinda akina kingai mahita na watesi wenzao ni vyema Serikali wangefuta hiyo kesi kuepuka fedheha zaidi
Serikali ya Bi Mchele ilishakubali kudhalilika... Kuifuta kwa sasa si jambo jepesi!!
Acha ibaki hivyo hivyo hadi tuwasikie utetezi na mashahidi wao!
 
Wengi wanaojadili hapa wamesahau ishu nzima ilivyo

Wamebeba ushabiki mpaka hawaoni ujinga wa upande wa kina kibatala

Mtu anarejea stori za willy gamba halafu anajiita msomi
Kesi ilifunguliwa yarehe 18, August, yeye kaanza kutafuta watu yarehe 20, August. Mh mnisamehe ndugu zangu wa upande wa pili👃👃
 
Wengi wanaojadili hapa wamesahau ishu nzima ilivyo

Wamebeba ushabiki mpaka hawaoni ujinga wa upande wa kina kibatala

Mtu anarejea stori za willy gamba halafu anajiita msomi

Kaa kwa kutulia

Luteni wa Jeshi Amekiri mbele ya Mahakama kuwa Baada Ya Bwire kusema wameambiwa wakamdhuru Sabayaa Alibariki waende waka mdhuru wakisha mdhuru waje wampe Taarifa. [emoji28][emoji28][emoji28]

Na huyu Ni Luteni wa Jeshi [emoji28][emoji2299][emoji2299][emoji2299]
 
Unasubiri upi Tena Kama sio huu wa Urio?

Urio Jamani kaliabisha sana Jeshi.

Ila Kibatala Katusaidia Tumejuwa kuwa URIO hakuwa Kambini alienda sehemu kuteswa

Maana Hata Kanisani anasema alienda juzijuzi mara hakumbuki ni lini [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Kibatala [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Wenzangu wenye ufinyu wa ufaham wa kisheria awali tumekuwa gizan gizan hivi kwene dilemma kubwa ya upande upi tuugemee wenye ukwel kuhusiana na hii kesi.
Na ingawa sheria cjui,lkn kusoma najua....kwa ushahid wa huy Uriyyo kipichapicha kimeanza kureta sura ya kilichofanyka,kinachofanyka na huenda kitachofanyka.
Eti mutu unakusanya watu kwa ushawishi wa kaz ya ujeda,halaf unawaripot kam magaidii. Mbaya mno ww mchora mchongo mwenyew unageuka kuwa kundi la kuwashtak
Hii nadhan unaipat tanznia tu dunia nzima🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Bosi na mfadhili wa kund la ugaid kugeuka shahid asaidie memba wake kufungwa,tena akiaminiwa na serikal🤭🤭🤭🤭
Na ukumbuke awali Lt Urio alikamatwa kama mtuhumiwa akateswa sana na hao hao akina kingai cha kushangaza leo kawa shahidi baada ya kununuliwa na akina kingai
 
LT Urio ni ndugu yake mbowe kiukoo na mbowe alimuomba amsaidie walinzi makomandoo wasitaafu kwa nia njema pasipo shaka akiwa na nia ya kujilinda dhidi ya hujuma tokea kwa Dc Sabaya ambaye baada ya kubaini hilo ndipo akatengeneza kesi ya mchongo ili kumdhoofisha mbowe lakini hao siyo magaidi na hakukuwa na ugaidi wowote ule
Mi sasa hata sielewi,, hii case imefail,,, hivii kuna mtu anajidanganya kuna mtu atakua convicted hapo?
 
Mi sasa hata sielewi,, hii case imefail,,, hivii kuna mtu anajidanganya kuna mtu atakua convicted hapo?

IMG_4378.jpg

IMG_4377.jpg

IMG_4376.jpg
 
Back
Top Bottom