Urio yupo kwenye jela za jwtz yupo chini ya Ulinzi hayupo huru hata ushahidi anaoutoa ni wa maelekezo ya kuwalinda akina kingai mahita na watesi wenzao ni vyema Serikali wangefuta hiyo kesi kuepuka fedheha zaidiNinavyoona Urio ni mhanga... Anatia huruma sana. Hasa pale Aliposema Kibatara kuwa hatokei kwake wala Hotelini. Nahisi anahitaji kuonewa huruma pia. Kwa alivyokuwa na ushikaji na hao washtakiwa wengine, anaonekana amelazimishwa. Namuombea kwa Mungu, ameyafanya haya kutunza uhai wake maskini.
hii ni movie ambayo hata layman wa mwakitolyo ameshatoa hukumu hana haja ya kumsubiri jajiKama ni hivyo hao makomandoo wamekamatwa kwa nini?. Maana hao walienda kufanya kazi ya ulinzi na sio ugaidi. Sasa nani mbaya hapo?. Na hakuna sehemu walikaa kupanga ugaidi. Hapo wameonewa Sana.
Ninavyoona Urio ni mhanga... Anatia huruma sana. Hasa pale Aliposema Kibatara kuwa hatokei kwake wala Hotelini. Nahisi anahitaji kuonewa huruma pia. Kwa alivyokuwa na ushikaji na hao washtakiwa wengine, anaonekana amelazimishwa. Namuombea kwa Mungu, ameyafanya haya kutunza uhai wake maskini.
Hakika mungu kajua kuwaumbua watesi woteDah sheria tamu sana aisee,
Cheki Urio hapa chini
''
Kibatala: Unaweza Kutuisaidia Kuwa Kwanini Inspector Swila alifungua Faili la Kula Njama Tarehe 18 July 2020 Wakati Wakati Umekutana hawa Vijana Tarehe 20 Mpaka 24
Shahidi: Sijui sasa
Kibatala: Je wewe Ulikula Njama na Mbowe.
Shahidi: Sijala Njama na Mbowe''
Division four,28 pts,failure for food for four years ulitaka ajibujeNatamani km URIO abadilishwe tyuuh badala ya kutoa ushahidi yeye analivua nguo JWTZ. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan anavyojibu hayo maswali mie ndo nachoka kabiaaaa.lol
LT Urio ni ndugu yake mbowe kiukoo na mbowe alimuomba amsaidie walinzi makomandoo wasitaafu kwa nia njema pasipo shaka akiwa na nia ya kujilinda dhidi ya hujuma tokea kwa Dc Sabaya ambaye baada ya kubaini hilo ndipo akatengeneza kesi ya mchongo ili kumdhoofisha mbowe lakini hao siyo magaidi na hakukuwa na ugaidi wowote uleUko sahihi. Kosa la Urio ni kumsaidia Mbowe wafanyakazi wa VIP PROTECTION. Yule mwendawazimu alipojua akafura na kuagiza akamatwe na kuteswa. Mateso ya Urio yatakuwa yalianza kabla ya akina Adamoo na wenzake. Hili jina lenyewe Urio, sio Urio sahihi. Usije shangaa akawa aliyeko mahakamani ni Linjenje[emoji2][emoji2]
Unatembea kwenye nadahria yangu. Nahisi ni kweli Urio na Mbowe wameshawahi kusaliana na labda Urio ndio aliyempa Mbowe idea ya kuwa na walinzi. Akijua anatenda wema Kwa ndugu yake Mbowe lakini anawatafutia washkaji zake wanaoteseka mtaani kazi. Siamini kama alimaanisha kuwachoma. Ila katikati ndio akaingiziwa hii issue na hakuwa na jinsi.Uko sahihi. Kosa la Urio ni kumsaidia Mbowe wafanyakazi wa VIP PROTECTION. Yule mwendawazimu alipojua akafura na kuagiza akamatwe na kuteswa. Mateso ya Urio yatakuwa yalianza kabla ya akina Adamoo na wenzake. Hili jina lenyewe Urio, sio Urio sahihi. Usije shangaa akawa aliyeko mahakamani ni Linjenje[emoji2][emoji2]
Mi nasubiria ule ushahidi tulioambiwa utaistusha dunia.Mungu anazidi kuwaombua watesi, Mpaka kufika mwisho watakuwa wameumbuka vya kutosha
Serikali ya Bi Mchele ilishakubali kudhalilika... Kuifuta kwa sasa si jambo jepesi!!Urio yupo kwenye jela za jwtz yupo chini ya Ulinzi hayupo huru hata ushahidi anaoutoa ni wa maelekezo ya kuwalinda akina kingai mahita na watesi wenzao ni vyema Serikali wangefuta hiyo kesi kuepuka fedheha zaidi
Kesi ilifunguliwa yarehe 18, August, yeye kaanza kutafuta watu yarehe 20, August. Mh mnisamehe ndugu zangu wa upande wa pili👃👃Wengi wanaojadili hapa wamesahau ishu nzima ilivyo
Wamebeba ushabiki mpaka hawaoni ujinga wa upande wa kina kibatala
Mtu anarejea stori za willy gamba halafu anajiita msomi
Unasubiri upi Tena Kama sio huu wa Urio?Mi nasubiria ule ushahidi tulioambiwa utaistusha dunia.
Wengi wanaojadili hapa wamesahau ishu nzima ilivyo
Wamebeba ushabiki mpaka hawaoni ujinga wa upande wa kina kibatala
Mtu anarejea stori za willy gamba halafu anajiita msomi
sasa ndiyo umejibu nini- hoja kwa matusi?!Ona ZEZETA hili aka ZUZU
Unasubiri upi Tena Kama sio huu wa Urio?
sasa ndiyo umejibu nini- hoja kwa matusi?!
Na ukumbuke awali Lt Urio alikamatwa kama mtuhumiwa akateswa sana na hao hao akina kingai cha kushangaza leo kawa shahidi baada ya kununuliwa na akina kingaiWenzangu wenye ufinyu wa ufaham wa kisheria awali tumekuwa gizan gizan hivi kwene dilemma kubwa ya upande upi tuugemee wenye ukwel kuhusiana na hii kesi.
Na ingawa sheria cjui,lkn kusoma najua....kwa ushahid wa huy Uriyyo kipichapicha kimeanza kureta sura ya kilichofanyka,kinachofanyka na huenda kitachofanyka.
Eti mutu unakusanya watu kwa ushawishi wa kaz ya ujeda,halaf unawaripot kam magaidii. Mbaya mno ww mchora mchongo mwenyew unageuka kuwa kundi la kuwashtak
Hii nadhan unaipat tanznia tu dunia nzima🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Bosi na mfadhili wa kund la ugaid kugeuka shahid asaidie memba wake kufungwa,tena akiaminiwa na serikal🤭🤭🤭🤭
Mi sasa hata sielewi,, hii case imefail,,, hivii kuna mtu anajidanganya kuna mtu atakua convicted hapo?LT Urio ni ndugu yake mbowe kiukoo na mbowe alimuomba amsaidie walinzi makomandoo wasitaafu kwa nia njema pasipo shaka akiwa na nia ya kujilinda dhidi ya hujuma tokea kwa Dc Sabaya ambaye baada ya kubaini hilo ndipo akatengeneza kesi ya mchongo ili kumdhoofisha mbowe lakini hao siyo magaidi na hakukuwa na ugaidi wowote ule
Jitie dole harafu nusa upunguze hasiraMbowe anatakiwa afungwe haraka ni gaidi..ushahidi umenyooka sana..wasiendelee kuisumbua mahakama
Mi sasa hata sielewi,, hii case imefail,,, hivii kuna mtu anajidanganya kuna mtu atakua convicted hapo?