Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

Nadhani aliambiwa tu kuwa Kamanda Zero tuna ushahidi wa kutosha kumtia hatiani Mbowe, usiwe na wasiwasi na yeye hakujihangaisha kuangalia wala kuhakikisha kuwa ni kweli akaenda kwenye vyombo vya habari kama alivyojibu bosi wake Chief Hangaya kwenye mahojiano na BBC
 
Kabisa mkuu
 
informer si ndio anaweka msingi tu mzee, hadhitibishi, wengine ndio wanakuja kuweka matofali na zege la renta, wengine wanamalizia na kuezeka, wengine kupita lipu, n.k. mbona unakuwa kama huelewi ndugu yangu.
Labda kama Mbowe aliongea kuhusu hizo hujuma na watu wengine apart from Urio na hao watu wana evidence labda recorded voice, sms etc. Lakini kama ni Urio peke yake na hakuna concrete evidences hakuna cha matofali, renta wala kupaua
 
Na kuna mwingine sasa hivi anajiita Mjingamimi, Zandramo na si ajabu huyo Bia yetu ni kati ya hao hao. Yaani comments zao inabidi kuignore tu maana unaweza kukuta unabishana na mtu mwenye akili ya mtoto wa darasa la 7
 
Je, ana ushahidi wa hayo anayoyasema? Urio is supposed to convince the court without doubts. He must have concrete evidences which up to now he has none.
 
Wale mawakili wa serikali wameshaona kabisa Shahidi Kawaangusha.
 
Na kuna mwingine sasa hivi anajiita Mjingamimi, Zandramo na si ajabu huyo Bia yetu ni kati ya hao hao. Yaani comments zao inabidi kuignore tu maana unaweza kukuta unabishana na mtu mwenye akili ya mtoto wa darasa la 7
Kuna hizi namba Mudawote, kawe allumn, Kiparakipya ndio hawa hawa na ID mpya
 
Wale mawakili wa serikali wameshaona kabisa Shahidi Kawaangusha.

Kuufanya uongo kua ukweli unahitaji kupata watu very smart sanaa....
Mawakili wa serikali tayari wameshapewa kesi ya kuisimamia, wao jukumu lao ni kumuongoza Jaji kutenda Haki...
 
Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake inavutia sana sababu mpaka dakika hii sijaona shahidi mwenye credility toka upanda wa mashtaka. Denis Urio ni mwajiriwa wa JWTZ ,kwa hiyo kitu chochote anachofanya nje ya kambi lazima kipate baraka ya mkuu wa kambi
Je Denis Urio alimueleza hiyo issue ya Mbowe na wenzake kupanga ugaidi.? .Na kama alimueleza mkuu wa kambi basi na yeye atakuwa amemueleza mkuu wa majeshi ya .Ulinzi.Sidhani kama kuna Jina la Denis Urio kwenye kitabu cha wageni ofisini kwa DCI.
Ndio maana utetezi wake kuwa aliingia ofsini kwa kutoa kitambulisho chake kitu ambacho ni watu wachache wanaweza kumuamini.Hata hivyo Tanzania itaweza kuweka historia katika mapinduzi ya uongozi kwa mtu wa nje ambaye sio mwanajeshi kupindua nchi..Sidhani kama kulikuwa na CCTV kamera kipindi hicho ofisini kwa DCI zilizo mrekodi Denis Urio akiingia na kutoka
 
Ndio Maana Mallya na Kibatala walimwambia Tunajua hii kesi na mmeichonga kwa DCI hukufika.
 
Urio ni kilaza at some point,,, afu eti ni luteni...

Ushahidi wake ni muhimu ila ameshindwa kujieleza vizuri...

Acha tusubiri jumatatu
 
Omba kwa moderators wakurekebishie Denis Urio ni Luteni!! Usidhalilishe vyeo vya wengine wasiohusika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…