mkuu Hebu Acha kubishana na taahira kama Hilo jamaa,yaani ni majuha ya kiwango Gani sijui,
Hizo I'd za kina Chapwa,Nazgur,Comte,kinuju & co ni I'd za mapunguani Fulani hua zinakuja Kwa msimu kimkakati
Tena wakiwa na mbinu za kishamba Sana ila mwisho wa siku hua zinakimbia jukwaa baada ya kupigwa na kitu kizito kichwani
Kulikua Kuna juha anajiita
#Bia yetu alikua na Akili hizo hizo za usiku matokeo yake mwendazake alipokata moto na yeye akakata moto ghafla maana tulimuonya ipo siku utaumbuka na kweli yakatimia kwahiyo na hoyo mengine siku yaja ya yatabaki matacore wazi!