Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

Circumstancial evidence pia wanasema ushahidi unatakiwa uconnect na kuadd up!Yaani ushahidi uwe consistent throughout!
Sasa kinachatokea hakiconnect,mfano ni kwenye hati ya mashtaka inaonesha jalada lilifunguliwa hata kabla kina Adamoo na Urio hawajakutana!

Na hapo hapo Urio anasema aliwadanganya kuwa wanaenda kufanya kazi ya ulinzi,Sasa kikao kama hicho Cha watu kwenda kufanya ulinzi unawezaje kukiita ni kikao Cha kula njama za kutenda uhalifu?
 
Sijui kama unajua kinachoendelea duniani
 
shida ni kwamba mnaandika hukumu vichwani mwenu kwa kutumia ushahidi wa mtu mmoja, unganisheni ushahidi wa watu wooote na wengine ambao wanaweza kuletwa ndio muandike hizo hukumu zenu. kesi huwa haiamuliwi kwa ushahidi wa mtu mmoja kati ya wengi. labda mashahidi wengine wasiwe wameongea mantiki.
 
Ma bush lawyer wa lumumba mnajua kuhara pumba mkuu. Ya sheria waachieni wa taalam wa sheria.
unaita mtu bush lawyer wakati ameongea at least kitu. wewe hujaongea chochote, ni empty headed lakini unaamini una akili. weka hoja hapo tujibizane kwa hoja, sio kuleta porojo hapa.au la nenda vijiweni kabishane na walevi huko.
 
Nani kakuambia ugaidi unathibitishwa kwa maneno ya kusikia..?
ugaidi ni criminal, namna ya kuuthibitisha hauna tofauti na criminal zingine. pia, urio hajasema alisikia, aliongea na dj, pia amesoma hadi msg. na mbowe mwenyewe anajua kuwa jamaa ni homeboy wake. upo.
 
Pamoja na "unaa" wako,

Haya sasa mwambie huyo Mr michongo Urio athibitishe hizo siri alizoambiwa na Mbowe,

Mbona hata simu yenye hizo siri kaipasua anaogopa nini?
msg zinasomwa sio kwenye simu, ila kwenye print out ya mtandao wa siku. unaongea nini wewe?
 
Hakuna anaeandika hukumu kichwani mwake...kama umesoma vizuri post yangu nimesema kazi ya jopo la mawakili wa utetezi ni kuonesha mapungufu kwenye ushahidi wa upande wa mashitaka..kama umefuatilia hii kesi na utaona kuwa ushahidi wa mashahidi wote wa serikali unamapungufu mengi sana..ambayo kama haki itatendeka basi hukumu inaweza ikawa kinyume na matarajio yako..kumbuka.. haki sio lazima itendeke tu, bali ni lazima pia ionekane kutendeka! Mbowe anaweza kuhukumiwa kifungo..hiyo itakuwa haki imetendwa dhidi ya kesi hii, lakini kwa mashabiki wa Mbowe haki itakuwa haijaonekana kutendeka...Mbowe anaweza achiwa huru..lakini kwako na kwa wengine kama wewe mtaona haki haikutendeka!
 
Waliomuua Imrani Kombe walikaa muda mfupi sana jela kuzuga watu kuwa sheria ilichukua mkondo wake lakini walitolewa baada ya muda mfupi sana kwa msamaha wa Rais. Ni sawa na aliyemuua Mwangosi
 
hizo ni fikra zako, unaamini upo sahihi, ila kuna fikra za wengine ambao ndo wanaandia hukumu. wewe hukumu yako unaiandikia jf. pyuuuuu
Pamoja na hayo lakini mpaka sasa HAKUNA concrete evidence. Time will tell
 
Kuna jalada la uchunguzi na ndio unakuwa msingi wa kukamatwa
 
Shahidi mmoja anaweza kuharibu ushahidi wa wengine wote, kuliko ushahidi wake kuwa muhimu kuliko wengine wote. Hapa Denis kaharibu ushahidi mwingine wowote ule ulikuwepo mahakamani.
 
Hata unachokiongea hukijui, hapo alipo ana nyota mbili, otherwise be specific unamaanisha nyota zipi
... anaweza kuserereka hadi 1-$tar! Use your common sense. Kama akili yako ndogo kaa pembeni huko.
 
... anaweza kuserereka hadi 1-$tar! Use your common sense. Kama akili yako ndogo kaa pembeni huko.
Hapo alipo tayari ana nyota mbili, una maanisha mini kusema huko mbeleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…