Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... anaweza keserereka hadi 1-$tar; you will be surprised.Ana safari ndefu kuupata ukanali, kwa sasa ni luteni,
So ana safari ya kutafuta u captain, then major, then luten kanali ndo aingie ukanali
Hakuna mhimili hapo hilo ni tawi kuu la CCMAkifanya hivyo ni aibu kubwa sana kwa mhimili wa Judiciary kwa sababu itakwenda kwenye court of Appeal. Ninaamini huko kutakuwa na wapenda haki
Hii ina make senseipo hivi mbowe baada ya kubanwa kuhujumiwa na DC Sabaya akapata taarifa kuwa huenda DC Sabaya akaja kumdhoofisha zaidi ndipo akaongea na Lt Urio amtafutie walinzi imara ambao ni Asikari wasitaafu kwa ajili ya kujikinga na Hatari tokea kwa DC Sabaya na baada ya Sabaya kugundua kuwa Mbowe anakwenda kuimarisha Ulinzi wake binafsi akajua itamuia vigumu kumhujumu kwa wepesi ndipo akabuni mbinu za kumbambikia kesi ya ugaidi kuwawekea unga na mengineyo mengi ya hovyo, huyo Lt Urio aliwapeleka Asikari kwa mbowe kwa Lengo la Ulinzi siyo ugaidi lakini baada ya kukamatwa akapigwa sana akatesa vibaya mbaka fahamu zikamtoka amegeuka na kutengeneza uongo aliofundishwa na akina kingai mahita na watesi wenzao, mungu anaendelea kumtumbua hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mwisho wa ubaya ni Aibu kubwa
Mbowe anavinasaba vya uhalifu hata kabla hazaliwa- haponiHii ina make sense
[emoji2377][emoji2377][emoji2377]Huwezi kujieleza vizuri kwa kesi ambayo imejengwa kwa msingi wa uongo, you are bound to fail Kama alivyofail
One star vipi wakati hapo alipo ni two star?... Ushahidi wake ukifanikisha ushindi usishangae akaserereka hadi 1-$tar.
Kwa mtazamo wangu mawakili wa serekali nao naona hawako honest.Kuufanya uongo kua ukweli unahitaji kupata watu very smart sanaa....
Mawakili wa serikali tayari wameshapewa kesi ya kuisimamia, wao jukumu lao ni kumuongoza Jaji kutenda Haki...
Hii ni fact mpya mh. Jaji na naomba iingie kwenye rekodi. Kama yeye ni komandoo mkewe ni fiel marshall basi! Na mamlaka yake ya ajira inamwajiri komandoo anayepigwa na mkewe? Nashauri asitambulike Kama komandoo kuanzia Sasa kwani ukomandoo huanzia nyumbani na amaeshindwa kuuonyesha Kwa mkewe! Avuliwe vyeo vyote!Kanal gani anapigwa na mke?
Aliulizwa ila hakutaka kutoa ufafanuzi zaidi huo utovu wa nidhamu unahusu makosa ganiIlitakiwa aulizwe mwanzo ni makosa gani yanafukuzisha watu kazi Kama utovu wa nidhamu Jeshini? Pale aliposema wenzio walifukuzwa kwasababu ya utovu wa nidhamu.
Majibu yake yangeleta suala la kutoa taarifa kwa DCI badala ya MI then swali linalofuata lingekua unaonaje kutofutwa kazi hadi Sasa kwasababu wewe ni mtovu wa nidhamu?