Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

🤣🤣🤣🙌
16435398680402.jpg
 
Daaa ushahidi huu nadhani anajua nini anajifanya.....alitaka ushujaa na u Major faster naona Lt....Amekaa nao sana
 
ipo hivi mbowe baada ya kubanwa kuhujumiwa na DC Sabaya akapata taarifa kuwa huenda DC Sabaya akaja kumdhoofisha zaidi ndipo akaongea na Lt Urio amtafutie walinzi imara ambao ni Asikari wasitaafu kwa ajili ya kujikinga na Hatari tokea kwa DC Sabaya na baada ya Sabaya kugundua kuwa Mbowe anakwenda kuimarisha Ulinzi wake binafsi akajua itamuia vigumu kumhujumu kwa wepesi ndipo akabuni mbinu za kumbambikia kesi ya ugaidi kuwawekea unga na mengineyo mengi ya hovyo, huyo Lt Urio aliwapeleka Asikari kwa mbowe kwa Lengo la Ulinzi siyo ugaidi lakini baada ya kukamatwa akapigwa sana akatesa vibaya mbaka fahamu zikamtoka amegeuka na kutengeneza uongo aliofundishwa na akina kingai mahita na watesi wenzao, mungu anaendelea kumtumbua hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mwisho wa ubaya ni Aibu kubwa
Hii ina make sense
 
Kuufanya uongo kua ukweli unahitaji kupata watu very smart sanaa....
Mawakili wa serikali tayari wameshapewa kesi ya kuisimamia, wao jukumu lao ni kumuongoza Jaji kutenda Haki...
Kwa mtazamo wangu mawakili wa serekali nao naona hawako honest.
 
Luteni angekua kwa polisi angekua na cheo kama cha ocd ila anapelekwapelekwa tu
 
Ilitakiwa aulizwe mwanzo ni makosa gani yanafukuzisha watu kazi Kama utovu wa nidhamu Jeshini? Pale aliposema wenzio walifukuzwa kwasababu ya utovu wa nidhamu.
Majibu yake yangeleta suala la kutoa taarifa kwa DCI badala ya MI then swali linalofuata lingekua unaonaje kutofutwa kazi hadi Sasa kwasababu wewe ni mtovu wa nidhamu?
 
Kanal gani anapigwa na mke?
Hii ni fact mpya mh. Jaji na naomba iingie kwenye rekodi. Kama yeye ni komandoo mkewe ni fiel marshall basi! Na mamlaka yake ya ajira inamwajiri komandoo anayepigwa na mkewe? Nashauri asitambulike Kama komandoo kuanzia Sasa kwani ukomandoo huanzia nyumbani na amaeshindwa kuuonyesha Kwa mkewe! Avuliwe vyeo vyote!
 
Ilitakiwa aulizwe mwanzo ni makosa gani yanafukuzisha watu kazi Kama utovu wa nidhamu Jeshini? Pale aliposema wenzio walifukuzwa kwasababu ya utovu wa nidhamu.
Majibu yake yangeleta suala la kutoa taarifa kwa DCI badala ya MI then swali linalofuata lingekua unaonaje kutofutwa kazi hadi Sasa kwasababu wewe ni mtovu wa nidhamu?
Aliulizwa ila hakutaka kutoa ufafanuzi zaidi huo utovu wa nidhamu unahusu makosa gani
 
Back
Top Bottom