kipigo, kina kingai washamuharibu huyu jamaa - dhambi sana hii. hayupo sawa kichwani maskini.Jamaa anadai alikuwa kwenye operation Sudan lakini hakumbuki mu yeyote waliyekuwa naye huko .... Seriously?
Kama jamaa ana matatizo ya kumbukumbu kihivyo inakuwaje tumuamini kwenye ushahidi wake ....!!?
Kuna tofauti kubwa kati ya maswali yanayoulizwa wakati wa EXAMINATION IN CHIEF na CROSS EXAMINATIONMkuu, umefuatilia kesi hii toka jana? Wakili wa serikali alimuuliza, kwa cheo chake Urio, anaongoza askari wangapi, alijibu 30. Pia, koplo anaongoza 9.Haya maswali ya wakili wa utetezi, yana tofauti gani na hayo aliyoulizwa jana?
Huyu shahidi atasaidia kweli?Habari Wakuu,
Leo tena shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3.
Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake Jan 27, 2022
Fuatana nami kupata yatakayojir...
Aisee, inamaana kagomea Hukumu ya Jaji.Shahidi: Mheshimiwa Jaji Kwa Sababu nipo Chini ya Kiapo Cha Mwajiri Wangu, Mafunzo ya Kijeshi itakuwa ni Shida Kwangu, Naomba Mwajiri Wangu, Nisije kutoka hapa Nikapelekwa Court Marshall
KAZI IPO
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Mkuu ndo u quote habari yote??Huyu shahidi atasaidia kweli?
Sasa unakuwaje na hasira na mtu ambaye hajathibitishwa kuwa na hatia?Mtuhumiwa yoyote ni innocent until proven guilty!sina chuki binafsi bali nina hasira sana na mtu yeyote anaye chezea amani ya nchi hii.
huyu mboe dhamira yake ilikuwa ni kuichezea amani ya nchi huku akiwa amejificha kwenye kivuli cha uenyekiti wa chama!!
hata hivyo ashukuru sana Mungu Tanznia kuna utawala wa sheria, ingekuwa nchi zingine zisizo fuata utawala wa sheria.....hiiiiiiiiieeeee!!
siyo uchi ndugu ni nyeti.. 😁😁😁Upepo unazidi kuvuma kwa kasi sio muda tutauona uchi wa kuku.
Hapo awali shahidi huyu alisema anayo ruhusa toka kwa wakuu wake wa kazi kuja kutoa ushahidi, ingawa movement order hakuja nayo mahakamani ameiacha hotelini. Sasa Hiyo Court Martial inakuja vipi hapa?Ninachoona hapa shahidi anaogopa swali la kesho kutwa na kusema yeye kuwa yupo chini ya kiapo kujibu level ya mafunzo yake ni uwongo mkubwa. Court Marshal gani anayoisingizia yeye? Ajibu swali ili mambo mengine ya endelee, na jaji pia kama kuna mchezo anaujua na anaufumbia macho. Kama hivyo shahidi hata uliswa maswali kwa kigezo cha kiapo cha jeshi. Kwani yy hadi kufika hapo kavunja viapo vingapi?
Ni dhambi sana huyu Urio amewafanyia hawa jamaa ...... Kama anaweza kuwadanganya watu anaodai walikuwa marafiki zake pia kuwa kuna kazi kumbe anawachomekea. Kwa nini tusiamini pia kuwa amemchomekea Homeboy wake ....!!kipigo, kina kingai washamuharibu huyu jamaa - dhambi sana hii. hayupo sawa kichwani maskini.
Mwambiye unajuwa watu wengine ukada umekuwa ukichaa unaondoa akili ya mtu heti atafungwa kwa ushahidi UPIMkuu weka chuki zako binafsi pembeni na angalia uhalisia!Hayo mambo ukiyaweka sana moyoni unaweza jisababishia matatizo ya kiafya!
Subiri kesi ifike mwisho utajua mbivu na mbichi,usihukumu kwani hiyo sio nafasi Yako!
Ukizingatia hayo basi Hukumu yoyote itayotoka haitakutesa nafsi Yako!
Duniani tunapita tu!
HOMEBOY kauza mechi baada ya kichapo cha kina Kingai.Ni dhambi sana huyu Urio amewafanyia hawa jamaa ...... Kama anaweza kuwadanganya watu anaodai walikuwa marafiki zake pia kuwa kuna kazi kumbe anawachomekea. Kwa nini tusiamini pia kuwa amemchomekea Homeboy wake ....!!
Zamani nilikuwa nikisikia Komando nilikuwa nafikiri ni Maafisa fulani ambao wamekuwa trained kwenye kiwango cha juu .... Kumbe ni design tu ya from four failures nao wanaweza kuwa Makomando.Kama elimu yake ni form four failure aliwezaje kufanya senior course?
Nashon kamuuliza uliwezaje kuwa Luteni? Kumbuka elimu yake ni 4m4 hivyo alipaswa kuishia kuwa korokoro mwenye logo ya bibi na bwana tu. Mara nasimamamia askari 30 kwa platoon, kweli huyu hajafanya senior course. Cheo chake huyo ni coplo tu na sio lutenHapo awali shahidi huyu alisema anayo ruhusa toka kwa wakuu wake wa kazi kuja kutoa ushahidi, ingawa movement order hakuja nayo mahakamani ameiacha hotelini. Sasa Hiyo Court Martial inakuja vipi hapa?
Usikariri Bro. Kwenye Organization ni kweli kuna idadi tajwa lakini haimlazimishi mtu kuifuata. Ndio maana kuna - or +. Unaweza kutengeneza Organization itakayo fit hitajio lako.Kwa hiyo platoon inakuwa na askari 30? Huyu mwanajeshi wa wawapi,mpakani au fire? Kama section 1 inakuwa na askari 9 na kila platoon inakuwa na section 3 hiyo idadi ya askari 30 ametoa wapi?
Kama nyota 2 hajui vipi kwa staff sajent wake atakuwa anajua nn? Huyu hajatoka kikosini tokea akamatwe na madoso aliyokula ndio hizo zimemwongezea mtero(hofu)mahakamani
Ukomando ni wanajeshi wa kawaida tu na wengi wao ni private yaani askari mtendaji na ndio maana maofisa wachache sana wanakuwa. Komando ni mtu wa kutumwa na ndio maana unaona hata wanavyofanyiwa hao akina Adamoo na hawaheshimiki kabisa ndani ya jeshi, kupewa privilege ya kupanda ndege bure ndicho kitu pekee kinawatia kiburiZamani nilikuwa nikisikia Komando nilikuwa nafikiri ni Maafisa fulani ambao wamekuwa trained kwenye kiwango cha juu .... Kumbe ni design tu ya from four failures nao wanaweza kuwa Makomando.
Nashangaa Jana alijibu maswali ya wakili Wa serikali yeye nani anaongoza watu wangapi akajibu na dafouu walikuwa wanakaa nani ajibu viongozi mpaka asema alikuwa anawalinda viongozi Leo anakataakujibu aibu tupu kwanza ana dhambi huyu Urio wachomeka watu aliodai ni Rafiki zake watoto na family zinatesekaShahidi: Mheshimiwa Jaji Kwa Sababu nipo Chini ya Kiapo Cha Mwajiri Wangu, Mafunzo ya Kijeshi itakuwa ni Shida Kwangu, Naomba Mwajiri Wangu, Nisije kutoka hapa Nikapelekwa Court Marshall
KAZI IPO
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app