Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Hizo telegram chat na simu walizopigiana hauziamini?
Na nimekuuliza Ina maana kamanda urio anamsingizia mbowe?
 
Bado itanichua muda kuamini kama hizo kesi zinakuwa za hovyo kama hii ya Mbowe.

Kama ingelikuwa hivi nadhani watu wangeuana Sana kwa kulipizana kisasi.

Fikiria hao makomandoo siku wakitoka mahabusu/ gerezani unadhani watakuwa wanazionaje familia za watesi wao ktk kesi hii ya mchongo.

Madhara kwao ni ya kiasi gani kiasi kwamba wakubali kuuumizwa na mtu mmoja au wawili kwa maslahi yao. Je watafidiwa kiasi gani?
 
We jamaa na hao wenzako walio like comment yako ni vilaza sana...unawezaje kumuita huyu msaliti mtu smart, kasaliti nchi na kiapo chake bado unamuita mtu smart?hapo kuna kipi smart alichoongea? huwa mnakula nini mavi au nini?they say you are what you eat
 
He has a treason case to answer kwenye court marshal ya kijeshi. He chose not to disclose to his army superiors of impending terrorist activities and to recruit ex army members to participate. Kikubwa ni kutotoa taarifa jeshini.
Alipeleka kwenye proper jurisdiction- Homeland security
 
Kwa mujibu wa mtangazaji Godfrey Monyo wa ITV ni kwamba Luteni Urio amesema hawezi kukiuka kiapo chake cha kijeshi kwa kutoa siri za JWTZ mahakamani.

JWTZ ina msemaji wake kwa mujibu wa kanuni zake.

Source: ITV habari

Maendeleo hayana vyama

cc: Yoda
 
Huyu ndo Urio na ushahidi wake?
Bullshit.

Nilijua nitaona sms angalau zinazosema mabomu/baruti zipo tayari,mashoka ya kukatia miti tayari.

Wasichojua hawa mataahira wanafikiri mahakama inapokea tu maneno hata yaliyo nje ya ushahidi wa maandishi uliouleta mwenyewe.
 
Acha ujinga uliokubuhu mkuu,kwahiyo unafikiri mahakama inapokea hadithi iache kupokea ushahidi wenye mashiko ?
 
Kwa hivyo amefuata Nini mahakamani. Ila Jaji ameruhusu ajibu maswali ila majibu yasilete ugumu kwa bosi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…