jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Huyu shahidi Urio inaonekana hayuko “stable mentally”
Halafu jana alisema aliambiwa na “administrator” kuwa wale kina Bwire, Lijenje na Adamoo walifukuzwa. Leo anasema alifahamu kufukuzwa kwao kwa kutizama mafaili!
Pia anaonyesha uwezo wake wa kufanya maamuzi sahihi ni mdogo sana. Ndiyo maana hata akaulizwa kama alikuwa “sober”, wakati anakubali kushiriki kwenye ugaidi, akasema hafahamu “sober” ni wapi! Na kwamba yeye alikuwa kwenye mghahawa!🤦🏾♂️
Pia issue ya ugaidi ni hatari kwa Taifa, jeshi lina majukumu ya kulinda Taifa dhidi ya maadui wa nje na ndani, hivyo alitakiwa aripoti hilo suala kwa intelligence officer wa jeshi ama administrator, na wao ndiyo waamuwe hatua za kuchukuwa.
Nadhani huyu alilazimishwa na kina Kingai baada ya wao kumtisha kuwa atafukuzwa jeshi ama kupelekwa kwenye “marshal court”. Ikabidi akubaliane na mchongo.
Hata leo ameonyesha wasiwasi huo wa kufukuzwa au kupelekwa “Marshall court” baada ya kuulizwa maswali flani flani. Kama kina Kingai waligunduwa anamtafutia Mbowe walinzi, basi walimbana, na ndiyo maana kina Kingai waka “take advantage of his insecurities”.
Matokeo yake ili kulinda kibarua, wakamalizana na kina Kingai kimyakimya huku akiwadanganya “superiors” wake kule jeshini kuhusu “story” nzima.
Kina Adamoo pia walimuona akiteswa kule TAZARA. Nadhani alilainika.