Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Huyu shahidi Urio inaonekana hayuko “stable mentally”

Halafu jana alisema aliambiwa na “administrator” kuwa wale kina Bwire, Lijenje na Adamoo walifukuzwa. Leo anasema alifahamu kufukuzwa kwao kwa kutizama mafaili!

Pia anaonyesha uwezo wake wa kufanya maamuzi sahihi ni mdogo sana. Ndiyo maana hata akaulizwa kama alikuwa “sober”, wakati anakubali kushiriki kwenye ugaidi, akasema hafahamu “sober” ni wapi! Na kwamba yeye alikuwa kwenye mghahawa!🤦🏾‍♂️

Pia issue ya ugaidi ni hatari kwa Taifa, jeshi lina majukumu ya kulinda Taifa dhidi ya maadui wa nje na ndani, hivyo alitakiwa aripoti hilo suala kwa intelligence officer wa jeshi ama administrator, na wao ndiyo waamuwe hatua za kuchukuwa.

Nadhani huyu alilazimishwa na kina Kingai baada ya wao kumtisha kuwa atafukuzwa jeshi ama kupelekwa kwenye “marshal court”. Ikabidi akubaliane na mchongo.

Hata leo ameonyesha wasiwasi huo wa kufukuzwa au kupelekwa “Marshall court” baada ya kuulizwa maswali flani flani. Kama kina Kingai waligunduwa anamtafutia Mbowe walinzi, basi walimbana, na ndiyo maana kina Kingai waka “take advantage of his insecurities”.

Matokeo yake ili kulinda kibarua, wakamalizana na kina Kingai kimyakimya huku akiwadanganya “superiors” wake kule jeshini kuhusu “story” nzima.

Kina Adamoo pia walimuona akiteswa kule TAZARA. Nadhani alilainika.
 
Vumilia Vurumai la Vumvi(VVV)... Luteni Ni watu wadogo Sana jeshini. Kama ingelikuwa Polisi, then Nyota mbili is somehow something.
Daaah ! Wewe Mstaafu mbona unawadhihaki sana wenye Vyeo vya Chini!!!
 
Huyu Gaidi Mboe aliwarubuni hao jamaa, mipango yake ilikuwa kuvuruga amani ya nchi na sio kumlinda.
eti bila aibu linadai walikuwa walinzi!!!
jambazi mkubwa huyu.

Huyu Gaidi alikuwa na mtandao ndani kwa ndani yaani alikuwa na vibaraka wengi ambao walikuwa wanamsaidia jinsi ya kuihujumu serikali. huyu lazima achezee miaka ya kutosha.
We jamaa una ROHO MBAYA kama URIO ...!!
 
Nashon: Freeman Mbowe ndiyo alikutana nao Morogoro?

Shahidi: Hapana ni mimi nilikutana nao Morogoro

Nashon: Kwa hiyo ulienda hadi Morogoro kukutana na magaidi nakuwa Mobilise wafanye ugaidi?

Shahidi: HAPANA SIYO MAGAIDI
 
Nashon: Je Wakati huo Ulikuwa Upo Sober na Malta Yako au Ulibadiri kinywaji

Shahidi: Ilikuwa Kwenye Mgahawa siyo Sober, Sijui Kama Palikuwa panaitwa sober

Jaji: Wakili Uliza Katika Namna Rahisi ambayo Shahidi atakuelewa

Sober House ! Lugha gongana
 
Nashon: naomba nikukabidhi Kielelezo hiki, unitafutie Meseji ya Kupanga Ugaidi

Shahidi: "Kaka Wale Mtu 3 au 4 ni muhimu sana, Siku zimeisha"

Nashon: Wewe ulivyosoma Kuna Ugaidi, ukaona Kuna Umuhimu sana wa kuleta mahakamani

Shahidi: Kwa sababu walikuwa wanahitajika

Ndugu zangu wachanga Urio keshawaribia Jina, hili jina likataeni[emoji3][emoji3]
 
Nashon: Wewe na mpelelezi wako hamkuona umuhimu wa kuweka simu Moja Chini ya Surveillance, kuweza kurekodi pindi Mbowe atakapopiga

Shahidi: hapakuwa na umuhimu

Nashon:
sasa shahidi umetoa hapa meseji, Je unaweza kutoa meseji hata moja yenye mwelekeo wa kupanga UGAIDI??

Shahidi: hakuna meseji ya neno GAIDI
Urio anatia aibu.. akapimwe akili

Nashon: naomba nikukabidhi Kielelezo hiki, unitafutie Meseji ya Kupanga Ugaidi

Shahidi: "Kaka Wale Mtu 3 au 4 ni muhimu sana, Siku zimeisha"

Nashon: Wewe ulivyosoma Kuna Ugaidi, ukaona Kuna Umuhimu sana wa kuleta mahakamani

Shahidi:
Kwa sababu walikuwa wanahitajika na Mbowe
 
eti VIP Protection,

Mboe alikuwa anatafuta watu ambao walikuwa tayari kufanya vitendo vya kihalifu.
Hata ndani ya chama inafahamika kwani mara nyingi alikuwa anawahimiza red brigedi kuwa tayari kwa lolote na haswa kutekeleza vitendo vya kihalifu pale inapo bidi.
Haya ni maelezo yako sio ya Shahidi Urio,Neno Homeboy yenyewe kwenye sms mahakamani haionekani
 
Nashon: naomba nikukabidhi Kielelezo hiki, unitafutie Meseji ya Kupanga Ugaidi

Shahidi: "Kaka Wale Mtu 3 au 4 ni muhimu sana, Siku zimeisha"

Nashon: Wewe ulivyosoma Kuna Ugaidi, ukaona Kuna Umuhimu sana wa kuleta mahakamani

Shahidi: Kwa sababu walikuwa wanahitajika

Ndugu zangu wachanga Urio keshawaribia Jina, hili jina likataeni[emoji3][emoji3]
Huyo jamaa anaonekana very immature. Not stable mentally.
 
Nashon: Soma Meseji ya hapo Chini ya Saa 2 na Dakika 5

Shahidi: Naomba Unitumie Nauli niweze Kuwa Mobilise Tukutane Morogoro

Nashon: hiyo Meseji ya nani

Shahidi: Ya Kwangu Mimi

Nashon: kwa hiyo Wewe ulikuwa Una mobilise Magaidi

Shahidi: Hapana Siyo Mimi ni Mbowe
Shahidi analazimisha Mahakama na sisi wote tuamini anavyotaka yeye - aisee kesi hii ina maajabu makubwa.
 
Back
Top Bottom