Jaji mwenyewe pia wa mchongo.Hivi wakina Kibatala wangemaliza leo, upande wa mashtaka wasingeweza kuleta shahidi mwingine kesho? Ningekuwa Jaji ningewalazimisha wanipe schedule ya mashahidi na uthibitisho kuwa wamewasiliana nao na wako standby kuja wakati wowote watakapohitajika. Unashindwaje kupata polisi ambae anawajibika kutii amri ya mamlaka? Kuna haja ya kuwa serious na maisha ya wenzao. Au lengo ni kuwaweka watuhumiwa mahabusu kwa muda mrefu inavyowezekana? Jaji lazima awe mkali kwenye hili.
Amandla...
Serikali haijajipanga katika hii kesi.
Walidhani same cover Kila angle matokeo yake wanapigwa matobo Hadi wanatafuta visingizio vya TMJ. Polisi Wana hosp Yao nzuri Sana kule Kilwa road, kwanini sense TMJ?
Angeanzia Kilwa road then Kama no rufaa angeletwa Muhimbili kuliko na vifaa na madaktari wa uhakika. Hata Marais, Mimi mwenywe na mawaziri wakuu wanatibiwa Muhimbili.
Who goes to TMJ these days?
MNH is fully stocked.
Huko wanatiana vidole vya macho kwa nini hawakuiondoa hii kesi mapema,yaani wako kwenye dilemma kubwa kwani picha halisi imeshajichora kwa rangi zake halisi kuwa hii kesi ni tamthiliya ambayo kuanzia mwandishi,mpiga picha na waigizaji wote wamepoteana. Kuiondoa katika steji hii ni aibu na kuendelea nayo ni aibu zaidi. Napata raha sana hawa mafedhuli wanapojivua nguo hadharani.... keshaingia mitini tayari; hajapona wanavyodai. Wanaomba ahirisho hadi Jumatatu kama atakuwa hajapona waje na shahidi mwingine! Serikali inafanya utoto mwingi sana kwenye hili shauri muhimu walilolianzisha wenyewe! CCM walaaniwe.
Jaji Wa Mchongo hawezi Kua mkaliHivi wakina Kibatala wangemaliza leo, upande wa mashtaka wasingeweza kuleta shahidi mwingine kesho? Ningekuwa Jaji ningewalazimisha wanipe schedule ya mashahidi na uthibitisho kuwa wamewasiliana nao na wako standby kuja wakati wowote watakapohitajika. Unashindwaje kupata polisi ambae anawajibika kutii amri ya mamlaka? Kuna haja ya kuwa serious na maisha ya wenzao. Au lengo ni kuwaweka watuhumiwa mahabusu kwa muda mrefu inavyowezekana? Jaji lazima awe mkali kwenye hili.
Amandla...
Huyo ni mjusi aina ya gulugujaHuyu ni Swila kweli au ni yule nyoka wa kijani ?
Updates:
Jaji ameingia Mahakamani Muda huu...........
Kumbe huko msalani kulikuwa na mtu!! Je alikuwa daktari au mwenye majibu ya maswali! Inatia shakaWakili wa Serikali Nasorro Katuga: Shahidi Tulikuwa tunaona hapa tangu Mwanzo Kila Muda alikuwa anaomba Kwenda Msalani Huko Ndipo alipo kuwa anatibiwa kupitia Daktari Wake
... wanajilisha kinyesi chao wenyewe! Washenzi wakubwa.Huko wanatiana vidole vya macho kwa nini hawakuiondoa hii kesi mapema,yaani wako kwenye dilemma kubwa kwani picha halisi imeshajichora kwa rangi zake halisi kuwa hii kesi ni tamthiliya ambayo kuanzia mwandishi,mpiga picha na waigizaji wote wamepoteana. Kuiondoa katika steji hii ni aibu na kuendelea nayo ni aibu zaidi. Napata raha sana hawa mafedhuli wanapojivua nguo hadharani.
Huko chooni daktari wake kajificha huko.. pamoja na WASIOJULIKANA...Kumbe huko msalani kulikuwa na mtu!! Je alikuwa daktari au mwenye majibu ya maswali! Inatia shaka