Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Kumshabikia Mbowe, Lema na Sugu ndiyo kuipenda TZ? Acha ushamba! Kama unalipenda hilo jina lichukueWewe mwenyewe hapo huna tofauti na huyo unayemsema hapo. Tazama tu unavyo'seek attention' kwa hilo jina ulilojipachika, huku ukiwashabikia wanaoinajisi hiyo Tanzania unayodai unaipenda.
Kazi yake inaonekana, acha watu wamuhukumu kwa kazi na matokeo yanayoonekana.
Bure Kabisa.
Justine, (shahidi wa pili) ni "shahidi wa kike", au kuna shahidi mwingine unayemuongelea wewe?ngoja tuone mbele huko huyu shahidi wa kike ataeleza nini lakini so far katika ushahidi wake hakuna mahala anaweza kumtia hatiani MBOWE, maana katika mazungumzi yao kama kweli hakuna mahala wameongolea kufanya ugaidi au uhalifu wowote zaidi ya Mbowe kutamka Sabaya anamsumbua sana ( ambayo inaweza kuwa na utetezi wa kisiasa)..... Kama huyu shahidi ataendelea hivi basi ushahidi wake hauna impact dhidi ya Mbowe.......
Ushahidi umejaa wa Mbowe kufanya "Ugaidi"; hiyo 'akilinene' ipo wapi hapo, hata ishindwe kudadavua upi ukweli na upi uongo? Umeangalia aliyosema shahidi wakati anahojiwa na upande wa utetezi?Mkuu hayo yote Serikali imeshayafanyia uchunguzi na ushahidi umejaa. Inasumbua lakini kwa nini Mbowe aliamua kufanya yote hayo!!!
Sijasikia ukiwashabikia hao uliowataja, sasa wewe umeokota wapi dhana hiyo!Kumshabikia Mbowe, Lema na Sugu ndiyo kuipenda TZ? Acha ushamba! Kama unalipenda hilo jina lichukue
Wewe ni kiazi kweli!Nashauri Mkiti ashauriane na wanasheria wake wafanye "Plea bargain" na Serikali kama inawezekana, hii kesi inaenda kumvua nguo, Afanye vyovyote anavyoweza kuiepuka hii fedheha.....Porojo za akina Kibatala hazitomsaidia
Njaa mbaya sana.Inapelekea mtu kutojitambua na kuwa na maamuzi ya ovyo sana. Hakuhitaji kusema aliyosema.Simply jaji kaonesha bosi wake ni Kingai, hivyo haikuwa haki kwake kuona bosi wake akitandikwa maswali na yeye subordinate yupo tu anaangalia bila kufanya chochote kwa sababu alibanwa na sheria...
Amekuwa mpole mnasema. Angekuwa mkali mngesema anajifanyisha. Bora afanye anavyoona ni sahihi na ninyi wavimba macho mmbaki na tafsiri zenu. Ila mwisho wa siku Mbowe LAZIMA ale mvua za kutosha.Hivi ndivyo alivyoandika .
View attachment 1989037
Huu ni ushahidi mwingine kwamba sasa Mahakama ni taasisi kamili ya ccm kama ilivyo UWT , UVCCM na Polisi .
Mbona unahangaika sana.Watu wameanza kupaniki mapema sana, mbona ngoma bado mbichi sana hii.....
Sababu umesema nashabikia waovu (Kwa pointi yako ulivyoiweka ni kwamba CCM wote ni waovu na CDM wote ni malaika)Sijasikia ukiwashabikia hao uliowataja, sasa wewe umeokota wapi dhana hiyo!
Nimehangaika nini hapo Chief? Kupost something JF napo ni kuhangaika?Mbona unahangaika sana.
Kwani akihukumu yeye ndiyo mwisho, si kuna ngazi za juu zaidi yake, au hujui?
Naona wanaCDM wengi mnapenda kutumia nenoMALAYA, it seems ndiyo vimichezo vyenu hivyo, and now vimejaa kwenye hizo tiny brains zenuTumia akili kidogo,acha akili za siasa za umalaya malaya.Shida siyo kuwa mwanaCCM shida ni yeye kukataa kuwa siyo mwanachama alikuwa na lengo gani.Acha mihemko ya kisiasa
Hahahaha! Wewe ni nani Chief? Andazi?Wewe ni kiazi kweli!
Hajaingia mahakamani kwa cheo chake, ameingia kama shahidi tu.Kingai ni afisa wa juu TISS kumzidi jaji. Anamwimba msamaha mkuuwake wa kazi.
AminaMungu ana makusudi kwa kila jambo.
Hii mimi pia imenishangaza sana. Seriously a Judge apologises for what happened to the witness when testifies at the dock!? Judge hayupo serious kabisa. Ameidhalilisha mahakama kwa kweliHivi ndivyo alivyoandika .
View attachment 1989037
Huu ni ushahidi mwingine kwamba sasa Mahakama ni taasisi kamili ya ccm kama ilivyo UWT , UVCCM na Polisi .
Nami pia naunga mkonoNaunga mkono swali lako, tukipata kifungu cha sheria kinachomzuia judge kuomba radhi itakua bora zaidi!