Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake. Shahidi Justine Eliya Kaaya, amtaja Ole Sabaya. Kesi imeahirishwa hadi Oktoba 28, 2021

Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake. Shahidi Justine Eliya Kaaya, amtaja Ole Sabaya. Kesi imeahirishwa hadi Oktoba 28, 2021

Wewe mwenyewe hapo huna tofauti na huyo unayemsema hapo. Tazama tu unavyo'seek attention' kwa hilo jina ulilojipachika, huku ukiwashabikia wanaoinajisi hiyo Tanzania unayodai unaipenda.

Kazi yake inaonekana, acha watu wamuhukumu kwa kazi na matokeo yanayoonekana.
Bure Kabisa.
Kumshabikia Mbowe, Lema na Sugu ndiyo kuipenda TZ? Acha ushamba! Kama unalipenda hilo jina lichukue
 
Mm nadhani jaji amekosea kuomba msamaha katika mazingira ya wakati huo. Maana hakuwa na sababu ya kufanya hivyo kwa Kingai.

Ambaye alikuwa amebanwa kwa maswali na alishapanik . Jaji yupo kwa kuangalia mizani iko sawa muda wote kitendo chake kwa mazingira ya wakat huo amekosea
 
ngoja tuone mbele huko huyu shahidi wa kike ataeleza nini lakini so far katika ushahidi wake hakuna mahala anaweza kumtia hatiani MBOWE, maana katika mazungumzi yao kama kweli hakuna mahala wameongolea kufanya ugaidi au uhalifu wowote zaidi ya Mbowe kutamka Sabaya anamsumbua sana ( ambayo inaweza kuwa na utetezi wa kisiasa)..... Kama huyu shahidi ataendelea hivi basi ushahidi wake hauna impact dhidi ya Mbowe.......
Justine, (shahidi wa pili) ni "shahidi wa kike", au kuna shahidi mwingine unayemuongelea wewe?
 
Mkuu hayo yote Serikali imeshayafanyia uchunguzi na ushahidi umejaa. Inasumbua lakini kwa nini Mbowe aliamua kufanya yote hayo!!!
Ushahidi umejaa wa Mbowe kufanya "Ugaidi"; hiyo 'akilinene' ipo wapi hapo, hata ishindwe kudadavua upi ukweli na upi uongo? Umeangalia aliyosema shahidi wakati anahojiwa na upande wa utetezi?
 
Nashauri Mkiti ashauriane na wanasheria wake wafanye "Plea bargain" na Serikali kama inawezekana, hii kesi inaenda kumvua nguo, Afanye vyovyote anavyoweza kuiepuka hii fedheha.....Porojo za akina Kibatala hazitomsaidia
Wewe ni kiazi kweli!
 
Simply jaji kaonesha bosi wake ni Kingai, hivyo haikuwa haki kwake kuona bosi wake akitandikwa maswali na yeye subordinate yupo tu anaangalia bila kufanya chochote kwa sababu alibanwa na sheria...
Njaa mbaya sana.Inapelekea mtu kutojitambua na kuwa na maamuzi ya ovyo sana. Hakuhitaji kusema aliyosema.
 
Hivi ndivyo alivyoandika .

View attachment 1989037

Huu ni ushahidi mwingine kwamba sasa Mahakama ni taasisi kamili ya ccm kama ilivyo UWT , UVCCM na Polisi .
Amekuwa mpole mnasema. Angekuwa mkali mngesema anajifanyisha. Bora afanye anavyoona ni sahihi na ninyi wavimba macho mmbaki na tafsiri zenu. Ila mwisho wa siku Mbowe LAZIMA ale mvua za kutosha.
 
Watu wameanza kupaniki mapema sana, mbona ngoma bado mbichi sana hii.....
FCtHNKnX0AkERN2
Mbona unahangaika sana.
Kwani akihukumu yeye ndiyo mwisho, si kuna ngazi za juu zaidi yake, au hujui?
 
Kingai ni afisa wa juu TISS kumzidi jaji. Anamwimba msamaha mkuuwake wa kazi.
 
Sijasikia ukiwashabikia hao uliowataja, sasa wewe umeokota wapi dhana hiyo!
Sababu umesema nashabikia waovu (Kwa pointi yako ulivyoiweka ni kwamba CCM wote ni waovu na CDM wote ni malaika)
 
Tumia akili kidogo,acha akili za siasa za umalaya malaya.Shida siyo kuwa mwanaCCM shida ni yeye kukataa kuwa siyo mwanachama alikuwa na lengo gani.Acha mihemko ya kisiasa
Naona wanaCDM wengi mnapenda kutumia nenoMALAYA, it seems ndiyo vimichezo vyenu hivyo, and now vimejaa kwenye hizo tiny brains zenu
 
Hivi ndivyo alivyoandika .

View attachment 1989037

Huu ni ushahidi mwingine kwamba sasa Mahakama ni taasisi kamili ya ccm kama ilivyo UWT , UVCCM na Polisi .
Hii mimi pia imenishangaza sana. Seriously a Judge apologises for what happened to the witness when testifies at the dock!? Judge hayupo serious kabisa. Ameidhalilisha mahakama kwa kweli
 
Back
Top Bottom