Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Kumshabikia Mbowe, Lema na Sugu ndiyo kuipenda TZ? Acha ushamba! Kama unalipenda hilo jina lichukueWewe mwenyewe hapo huna tofauti na huyo unayemsema hapo. Tazama tu unavyo'seek attention' kwa hilo jina ulilojipachika, huku ukiwashabikia wanaoinajisi hiyo Tanzania unayodai unaipenda.
Kazi yake inaonekana, acha watu wamuhukumu kwa kazi na matokeo yanayoonekana.
Bure Kabisa.