Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Karibu sanaMnaoleta habari za mahakamani mnanifundisha vitu vipya ambavyo sijawahi kuvijua.
Asanteni.
nafatilia kwa umakini Sanaa.
mpambano NI mkali.
Kibatala ni noma
Ha ha ha, eti nilimtaka mlinzi wake achukue kalamu na karatasi ili waandike duh aiseeShahidi: alikuwa ananiambia nitaje tena Majina ya wale Vijana na Namba zao za simu na kazi wanazozifanya kwa Sabaya
Wakili wa Serikali: Wewe baada ya kukutaka Ufanye hivyo Ulichukua hatua gani
Shahidi: Kabla ya kuanza kuwataja nikamtaka Mlinzi wake akachukue kalamu na Karatasi ilituweze kuandika
Useless, yaani Mbowe kama ana shinda hawezi kujua mwenyewe Sabaya anatembeleaga wapi? Yaani Hai, Arusha, Moshi Mh. Mbowe ashindwe kujua viwanja vipi Sabaya huwa anapenda kwenda? - muongopeni Mungu nyie watu.Baada ya pale aliniambia nimtajie sehemu anazopenda kutembelea Mheshimiwa Sabaya
Shahidi: Mbowe, Halfani Bwire, Mohamed Ling'wenya na Adamu Kasekwa kwa sasa wako hapa mahakamani. Wakili wa Serikali Chavula anamtaka shahidi awaoneshe kwa majina na Shahidi anawasogelea na kuwataja kwa majina.Hii kesi haina ukweli wowote
Mbowe siyo gaidi lakini ni mkaidi, ikiwa tumefiwa na raisi aliyekuwa madarakani, je itashindikana kwa kiongozi wa chama cha upinzani?Mbowe sio gaidi
Sabaya alikuwa anamtafuna huyu kilaza wa KimeruEti huyo Kaaya aliambiwa akae upande wa kulia wa barabara, na gari ya Mbowe ilipofika, kioo cha upande wa abiria kikashuka ndipo akamuona Mbowe. Kama gari ni tinted, kioo cha abiria kikishushwa halafu wewe upo upande wa kulia utaweza vipi kuona ndani?
Halafu eti alichukuliwa kama mpiga picha na baadaye akaishia kuwa house boy wa Sabaya! Yani alipenda kazi yake ya kupiga picha akamuhamishia nyumbani kwake kabisa.
Duh! Haya mazingaombwe matupu.
Unaongelea siasa za kistaarabu za kupiga risasi,kufunga na kubambikia kesi wapinzani kama kina Sugu, Lisu, Mbowe, lema etc na kuiba uchaguzi nchi nzima, kuweni na aibu kidogoMbowe siyo gaidi lakini ni mkaidi, ikiwa tumefiwa na raisi aliyekuwa madarakani, je itashindikana kwa kiongozi wa chama cha upinzani?
Wapinzani watumie busara katika kudai katiba mpya, tume huru na ya haki ya uchaguzi, mikutano ya hadhara ya kisiasa, bunge na mahakama zisizoingiliwa katika utendaji wake n.k.
Tubadilike ifike mahala tufanye siasa za kistaarabu zisizokuwa na chuki wala kudhuruiana.
Una haraka gani? Kwani unajisaidia kichakani?! Jitulize uandike kwa usahihi!Unalialia nini wacha mwaba wenu afungwe kama sabaya
USSR
Daaaah πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈJaji: Kama tumekukwaza Kwa niaba ya Mahakama naomba Radhi, Naomba Radhi kwa niaba ya Utetezi na Ninakushukuru Kwa Ushahidi wako.
WeeeeSabaya alikuwa anamtafuna huyu kilaza wa Kimeru
Tutakuchagua wewe unda chama chako tuHuyu Mbowe mzembe sana, Yaani uzoefu wote alionao kwenye siasa za bongo bado anapiga masimu na kutuma hela kwenye simu kindezindezi hivi? Anamuamini mtu hata hamjui vizuri na anamkaribisha hadi ndani ya gari lake la KUB tena akiwa na "Mukya"? Alishindwa nini kuwatuma hao akina Bwire kudili na huyo houseboy wa Sabaya? And ukimkuta majukwaani anapayuka tu oh mtupe nchi tuiongoze, kwa uzembe na upuuzi kama huu hata huo ubunge hauwafai...
tatizo la CCM hata hamjui maana ya UGAIDI ni nini.Huyo gaidi wamfunge haraka
Sina mpango huo...Tutakuchagua wewe unda chama chako tu
Watajuaje wakati shahidi alikwenda Kama mpiga picha,ghafla akawa house boy na akaachana na Kazi iliyokuwa kuwa inampa dollars na eurotatizo la CCM hata hamjui maana ya UGAIDI ni nini.