Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Unaambiwa walipanga kukata miti na kuiweka barabarani kuanzia Dar hadi Mbeya , lakini walipopekuliwa hawakukuta hata panga wala shoka ! je hiyo miti wangekatia meno ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu swali langu ni rahisi tu- Mbowe yuko mahakamni kwa kosa gani?Kwamba kumfahamu Mbowe n kosa?
Kwenda moshi n kosa? Basi wachaga wote wafungwe
Kukutana na Mbowe n kosa? Tuanze mfunga Speaker basi
Kuna watu mnawaza kwa kutumia matako
Sio wanataka kupewa kazi walikua kazini Kumlinda Mbowe baaada ya kushambuliwa dodoma akatafuta walinziTukiacha makandokando na songombingo za kesi hii. Hivi Hii kitu ya "VIP PROTECTION" kwa kutumia ex-comamandos zaidi ya wanne mwamba alikuwa anataka kulinda nini? Kuna mtu ametafakari kwa kina?
Maana inaonekana watuhumiwa wanakiri kutaka kupewa hii kazi!
Makosa ya ugaid na uhujumu uchumiMkuu swali langu ni rahisi tu- Mbowe yuko mahakamni kwa kosa gani?
Ongeza mengine mwisho wa siku- MBOWE NI GAIDIKumbe na wewe ni list ya
Boya
Kinuju
Idugunde???
Ignored totally.
kASOME VIZURI SHERIA YA UGAIDI NA UMWAMBIE KIBATALA AKUPE HATI YA MASHTAKA UONE INASEMAJEMakosa ya ugaid na uhujumu uchumi
Kama alitaka lipua vituo vya mafuta alitakiwa kukutwa na milipuko japo hata hiyo isingetosha kumfunga
Kama alitaka kata miti alitakiwa kutwa na mashoka na chainsaw japo hata hiyo isingetosha kumfunga
Hata Ile bastola ilipaswa pima DNA na finger print, hata hivyo isingetosha sababu haikufanya tukio lolote
Hakuna kosa kukutana na mtu au kufanya kazi kwa mtu , ila hiyo kazi utakayofanya ndio kosa
aisee !!Shahidi: Wakati huo Nilikuwa nimefungwa Pingu, Mahita akasema Kwamba huyu si hataki Kusema, akachukua Bomba akalipitisha Katikati ya Miguu na Mikono, akalinyanyua Juu, nikabinuka, Wakati huo Nyayo zikawa Juu, Mahita akasema huyu si hataki kusema, atasema yote tu..
Matata: Baada Kuinuliwa juu na kuweka nyayo Juu nini Kilifuata?
Shahidi: Mahita akaanza kunipiga sana..
Matata: zoezi hilo lilichukua muda gani?
Shahidi: Lilichukua nusu saa..
Matata: Nini kilifuata sasa
Shahidi: Kilichofuata Kilikuwa ni Kilimo tu, Hata Kuongea nilikuwa siwezi tena, Nikasikia Sauti ya Askari Mmoja akasema Msimpige Muacheni jamani..
Halafu Polisi kama huyu Mahita wakifa ghafla ndugu zào wanaanza kutafuta sababu?aisee !!
Basitola yenye lisasi 3 inatosha kuangusha miti yote hiyo, usicheze na bastola za siku hizi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Unaambiwa walipanga kukata miti na kuiweka barabarani kuanzia Dar hadi Mbeya , lakini walipopekuliwa hawakukuta hata panga wala shoka ! je hiyo miti wangekatia meno ?
kimeumana !!Peter Kibatala: Hatari ninayoona hapa Kwamba Kuna watu wanajiona wao ni bora Kuliko Wengine, Kesi Ya Mtobesya Vs DPP hawa waendesha Mashtaka Walishapewa Agizo kuwa sisi wote ni Mawakili hakuna aliye Juu Mahakamani..
Najaribu kuwaza ingenikuta maskini kama mimi ningeshakufa.Ili kupata amani ya moyo wangu naona ni vema nikaacha kabisa kufuatilia hili kesi!
Inaumiza mno,Kwa mtu aliyewahi kuingia kwenye 18 za Polisi atanielewa vizuri zaidi!
Ni mmama, ana cheo pale kituoni - tutamtafuta tumpe asante - ndani ya jeshi la Police kuna binadamu wachache waliobakia.Huyu.askari aliekua.anampa beskuti mahabusu.mwenyez mungu amulinde sana kwenye kazi yake.