Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Upande wa Utetezi waanza kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka 26 Novemba, 2021

Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Upande wa Utetezi waanza kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka 26 Novemba, 2021

Kwamba kumfahamu Mbowe n kosa?
Kwenda moshi n kosa? Basi wachaga wote wafungwe
Kukutana na Mbowe n kosa? Tuanze mfunga Speaker basi

Kuna watu mnawaza kwa kutumia matako
Mkuu swali langu ni rahisi tu- Mbowe yuko mahakamni kwa kosa gani?
 
Tukiacha makandokando na songombingo za kesi hii. Hivi Hii kitu ya "VIP PROTECTION" kwa kutumia ex-comamandos zaidi ya wanne mwamba alikuwa anataka kulinda nini? Kuna mtu ametafakari kwa kina?

Maana inaonekana watuhumiwa wanakiri kutaka kupewa hii kazi!
Sio wanataka kupewa kazi walikua kazini Kumlinda Mbowe baaada ya kushambuliwa dodoma akatafuta walinzi

Mbowe ni V.I.P

labda kama kuna kosa kwenye kumlinda mtu
 
Mkuu swali langu ni rahisi tu- Mbowe yuko mahakamni kwa kosa gani?
Makosa ya ugaid na uhujumu uchumi

Kama alitaka lipua vituo vya mafuta alitakiwa kukutwa na milipuko japo hata hiyo isingetosha kumfunga

Kama alitaka kata miti alitakiwa kutwa na mashoka na chainsaw japo hata hiyo isingetosha kumfunga

Hata Ile bastola ilipaswa pima DNA na finger print, hata hivyo isingetosha sababu haikufanya tukio lolote

Hakuna kosa kukutana na mtu au kufanya kazi kwa mtu , ila hiyo kazi utakayofanya ndio kosa
 
kASOME VIZURI SHERIA YA UGAIDI NA UMWAMBIE KIBATALA AKUPE HATI YA MASHTAKA UONE INASEMAJE
MIND YOU TUNAONGELEA TUKIO HALISI
 
Shahidi: Wakati huo Nilikuwa nimefungwa Pingu, Mahita akasema Kwamba huyu si hataki Kusema, akachukua Bomba akalipitisha Katikati ya Miguu na Mikono, akalinyanyua Juu, nikabinuka, Wakati huo Nyayo zikawa Juu, Mahita akasema huyu si hataki kusema, atasema yote tu..

Matata: Baada Kuinuliwa juu na kuweka nyayo Juu nini Kilifuata?

Shahidi: Mahita akaanza kunipiga sana..

Matata: zoezi hilo lilichukua muda gani?

Shahidi: Lilichukua nusu saa..

Matata: Nini kilifuata sasa

Shahidi: Kilichofuata Kilikuwa ni Kilimo tu, Hata Kuongea nilikuwa siwezi tena, Nikasikia Sauti ya Askari Mmoja akasema Msimpige Muacheni jamani..
aisee !!
 
Kati ya jambo la aibu kabisa katika miaka hii ni jamhuri kufunga hoja kabla hawajaunganisha dots za kinachoitwa ugaidi!! Wameshindwa hata kumlikisha kisayansi silaha wala madawa ya kulevya mtuhumiwa!!

Mratibu mkuu wa ugaidi ametajwa na shahidi mmoja tu tena ambaye alisema hakusikia maneno yoyote ya kupanga uhalifu!!

Labda sijaelewa lakini kama mshitakiwa+shahidi anasema alirekodiwa na camera, iko wapi picha hiyo ili kuthibitisha kukiri???

Naona anguko la aibu!!
 
Peter Kibatala: Hatari ninayoona hapa Kwamba Kuna watu wanajiona wao ni bora Kuliko Wengine, Kesi Ya Mtobesya Vs DPP hawa waendesha Mashtaka Walishapewa Agizo kuwa sisi wote ni Mawakili hakuna aliye Juu Mahakamani..
kimeumana !!
 
😁😁😁
AIgmal.jpg
 
Back
Top Bottom