Uchaguzi 2020 Yaliyojiri: Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu na mkutano mkubwa Shinyanga

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri: Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu na mkutano mkubwa Shinyanga

1599040336628.png
 
Nawashangaa chadema wanashindwa kurusha mikutano yao live,na Wana chadema tv on line na pia Wana bavicha tv,tatizo ni nini?

Live broadcasting inawaumbua, picha na clip zinazoletwa hapa zimepitia uhariri zile nzuri kwa chama ndio zinatoka, Mbagala na Kawe walifanya live broadcasting ni aibu mtupu, Kawe mkutano ulikuwa kama kampeni za udiwani.
 
Acha Blah Blah
 
Acha Blah Blah

Tuma live link, acha mbwembwe nyingi, hata Lavalava anaweza kutuma live broadcasting, kwa nini nyie mnaogopa.
Na jiandae, Segerea wanaenda kula kichwa hicho, ukifika hata 30% shukuru Mungu.
 
Tatizo lako molemo taarifa unaleta asubuhi video na picha mpaka uunganishe hapo watu tumehamia kwenye shughuli zingine- jitahidi kuweka picha na video mapema bosi
Maandalizi ni mazuri sana hapa Shinyanga na wananchi wana hari sana ya kumsikiliza Rais
Wanakwambia jamaa anasafisha macho ananoa bongo ya waliolala huchoki kumsikiliza na ni kitulizo cha mioyo ya watu huyu ana karma ndani yake Mungu amtangulie kila aendapo
 
Back
Top Bottom