Uchaguzi 2020 Yaliyojiri: Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu na mkutano mkubwa Shinyanga

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri: Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu na mkutano mkubwa Shinyanga

1599059319330.png

chadema mna vituko
 
Hicho cheo ni hewa!

Hakujawahi kuwepo chief wa wasukuma as the whole tribe toka dunia iumbwe.

Usukumani kuna chiefdoms kibao kila moja na chief wake ndo hizo zingine za msimu zinasimika yeyote hadi "majogoli".

Mnge-specify kawa chief wa chiefdom ipi!
 
Live broadcasting inawaumbua, picha na clip zinazoletwa hapa zimepitia uhariri zile nzuri kwa chama ndio zinatoka, Mbagala na Kawe walifanya live broadcasting ni aibu mtupu, Kawe mkutano ulikuwa kama kampeni za udiwani.
Dalili za mimba changa hizi, watu wakijaa utasikia ooh hawajajiandikisha mara hawapigi kura, sijui hizo ni za lowaxsa mara ooh Lissu hafai sasa kama hayo ni kweli mbona unamfuatilia Lissu kila wakati? Hizi ni dalili za Kichefuchefu nenda ukale udongo/pemba vinginevyo subiri clinic huku Kwa wanaume marufuku.
 
Live broadcasting inawaumbua, picha na clip zinazoletwa hapa zimepitia uhariri zile nzuri kwa chama ndio zinatoka, Mbagala na Kawe walifanya live broadcasting ni aibu mtupu, Kawe mkutano ulikuwa kama kampeni za udiwani.
Wanaweka na za Lowassa za 2015
 
Uwe mtaalamu mbobezi wa mila za kusimika hakukufanyi uwe na uhalali wa kusimika.. isipokuwa Kama burudani tu..
Lissu ana kagwa, wala hapandi nzule, ukipandishwa nzule na haustahili unakufa na msimikaji anakufuata wanalijua hilo na hawatathubutu kufanya, hapo anahanwa tu au Kukagwa, hata kuhembekwa hajafikia
 
Wasukuma wameshamroga hapo hashindi aangalie wenzie waliorogwa pia kupitia huo mchezo wakashindwa kura wa kwanza huyu hapa Mbowe alipogombea uraisi

1599059434369.png

Wa pili kurogwa kwa mtindo huo huyu hapa

1599059720659.png
 
Wasukuma wameshamroga hapo hashindi aangalie wenzie waliorogwa pia kupitia huo mchezo wakashindwa kura wa kwanza huyu hapa

View attachment 1556695

Wa pili kurogwa kwa mtindo huo huyu hapa

View attachment 1556702
Kwa hiyo na wale ccm wanaosimikwa nao hurogwa? Kwasababu safari hii Uchawi wa CCM unegonga mwamba Mwenge wa wachawi umezimwa na Mungu tegemeeeni Nec karata yenu ya mwisho
 
Back
Top Bottom