Umekalia kigogo?
thimba amegongwa 2 kwenye 0713, analia kwa maumivu ndiyo namcheka
Hivi simba na yanga walitoka ngapi ngapi?
natambua uwepo wako mkuu na Mungu akuongezee sikuza kuishi kama .....Mpira Umeisha.
Mgambo 2-0 Simba
Asanteeeeeeeeeeeeee Young Africans kwa kucheza kwa malengo na sio kukamia kama mikiaaaaaaaaaaaaaasanteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee JKT Mgambo!
Oyoooooooo
Asanteeeeeeeeeeeeee Young Africans kwa kucheza kwa malengo na sio kukamia kama mikiaaaaaaaaaaaaa
Tumebakiza mechi tatu ngumu, ya Kagera Sugar, Mbeya City na ile ya Azam, hata ya Ndanda nayo siyo ya kubeza. Kila la heri kwa mechi zilizobaki.