Yaliyojiri mechi ya Mgambo JKT Vs Simba at Mkwakwani

Yaliyojiri mechi ya Mgambo JKT Vs Simba at Mkwakwani

Oyoooooooo
 

Attachments

  • 1426691093512.jpg
    1426691093512.jpg
    43.9 KB · Views: 354
daaaahhhhh kweliii simba ni konyooo kweliiiiiii na kelelee zotee zileee
 
Tumebakiza mechi tatu ngumu, ya Kagera Sugar, Mbeya City na ile ya Azam, hata ya Ndanda nayo siyo ya kubeza. Kila la heri kwa mechi zilizobaki.
 
Mchumba wetu tumemtanguliza tu, yanini kumfunga mtu asiye na hatia.
 
Back
Top Bottom