Yaliyojiri mechi ya Yanga SC vs Azam FC - Ngao ya Jamii

Kwa jinsi Manji anavyonunua mechi, nadhani hata hii atakuwa amefanya yake!
 
Azam mnatuboa bana haiwezekani kila siku mnafungwa na yanga
 
Itakuwa habari njema, Azam ikifungwa kama goli 4 hivi. Labda watatia akili. Kiwango cha huyu kocha kutoka Spain hakina tofauti sana na kiwango cha Jaja (huyu alikuwa mchezaji wa Yanga)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…