Yaliyojiri mechi ya Yanga Vs Simba Feb 20, 2016 Yanga yapaa kileleni

Huyu refa kaokotwa wapi sijui
Mkombe salama?

Acha visingizio bana...

Banda mwenyewe kakubali...Hata nahidha Mkude...Hawajabisha wala nn...

Kumbuka huyu mama hata mechi ya mtani jembe alitoa kadi nyekundu kwa Yondani kama sikosei...
 
Ni mazingira ya kuhakikisha simba inafungwa tu,kwanza TFF wanashangaza sana sijui wamemuokota wapi huyu muuza papuchi
[emoji3] [emoji2] me nashauri mnyama akicheza na sijui ndala kusiwe na card maana upande mmoja unalialia, me sifungamani na upande wowote lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…