Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Mkombe salama?Huyu refa kaokotwa wapi sijui
Acha visingizio bana...
Banda mwenyewe kakubali...Hata nahidha Mkude...Hawajabisha wala nn...
Kumbuka huyu mama hata mechi ya mtani jembe alitoa kadi nyekundu kwa Yondani kama sikosei...