Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

Yaani hata hamueleweki mara mnasema kazomewa hapo hapo mnasema waliohudhuria ni makada kutoka mikoa yote kanda ya ziwa,poor chadema
Usijidai huelewi, Magufuli kawauliza mtanipa kura zenu, jamaa wakamwambia hatukupi.
 
Pole sana, mtateseka sana mwaka huu, jifungie ndani ulie tu, hakuna namna.
 
Yaani hata hamueleweki mara mnasema kazomewa hapo hapo mnasema waliohudhuria ni makada kutoka mikoa yote kanda ya ziwa,poor chadema
CHADEMA ishakufa siku nyingi mwenyekiti alisema.
Sasa inakuwaje mtu akiandika kitu dhidi ya mkono wa chuma mnapa uanachama wa CHADEMA ?
NCEER Mageuzi ndio chama kikuu cha upinzani
 
Mbona hutuonyeshi jinsi wana bukoba walivyo mzomea? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…