Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

Fatilia mnyororo wa familia ya Akwilina.
Ngugu + Jamaa + Marafiki + Majirani + Wanachuo wenzie + Wapenda haki na Amani Kama Mimi huyo Pombe Kura yangu Hapati
Ongeza na ya kwangu hapo mwamba!!
 
Hivi huduma za jamii kama maji na umeme, barabara ni hisani ya serikali au ni wajibu kwa serikali kujenga na kutoa kwa wananchi?
 
Hii nyomi ya bukoba Mimi namashaka nayo nilichojiuliza kweli saa mbili watu wajae kiasi kile kama hii nyomi hii halali basi kuna jambo kubwa huyu mgombea kawafanyia watanzania
Mhh!! Nyomi kweli, si umeiona! Hakuna nyomi halali na hakuna nyomi haramu- nyomi ni nyomi tu. Siri ya mtungi aijuae kata
 
Kuleta fujo Kama kurusha mawe sio vizuri.Ila Kama hujamwelewa alichoongea akiuliza utanipa kura inabidi utoe jibu nitakupa au nitakunyima

..ccm wanaweza kutumia tukio hilo kuanza kumfanyia fujo TL na wapinzani.

..ni afadhali yule ambaye hakipendi chama au mgombea fulani asihudhurie mikutano ya chama hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…