Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

Wasema , mzee Alisha wazarau Sana wanakagera na wahaya ni Kama wanyakyusa Wana jeuri na utu wao so uliza gharama za huo mkutano Kama wamejaa ,unaweza kutana na elietoka kyaka au mwanza ,chezea nshomile wewe
Either way, wamejaa na wanamsikiliza mzee...
 
Itoshe kusema leo Bukoba imetikiswa na kutikisika.

Uwanja wa Gymcana ulijaa saa 06:30 za asubuhi.

Ile ndoto ya Chief Karumuna kuchukua Jimbo umepotea mazima baada ya mkutano wa leo baada Mgombea wa CCM Wakili msomi Byabato kuibua Shangwe Mara kwa Mara alipokuwa akitajwa na Mh Magufuli.

Poleni sana wale waliokuwa wanasubiri kutumia karata ya tetemeko kupata kura za huruma .
 
Acha uongo humu kuna baba na babu zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…