Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,952
- 4,416
Umwambie awakumbushe maendeleo ya kagera na Tanzania kw Ujumla
Ccm raha tupu
Sera za Watu wapigane mit na kuzaliana kwa wingi !?..Au ile ya kuwa nikifa nntaenda na liuwanja huko Kaburini !?..Au uli maanisha Sera zipi hasa 😡😠
Leo Bukoba inawaka moto sana
Nenda mwenyewe ukaangalieHebu twambie zinatua ngapi Mkuu huko Chatu.
Si ulale tu, kwani umeulizwa?Fiesta imetuchosha
Nenda mwenyewe ukaangalie
Ucje kusema unadanganywa
Hata wanafunzi na watoto wamechokaSi ulale tu, kwani umeulizwa?
Kama wamechoka nenda kawalaze hao watoto na wanafunzi. Unamlalamikia nani sasa?Hata wanafunzi na watoto wamechoka
Hata wewe ukipewa mimba utazaa mtoto moja kwanza kisha watafatia wengine na kujikuta unao kumi,Uwanja wa ndege wa chato unao tua ndege moja kwa mwaka oyyyyyeee
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app