Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

CCM hoyeee. Mungu kaibariki Tanzania kutupatia JPM. Hakuna Kama yeye never
Wananchi wa Bukoba naomba wawawekee sehemu maalumu Peponi . Leo wamemwambia Meko mubashara kabisa “Hatukutaki” wala hatutakupigia kura! TBC wamekata kipande Meko anabishana na wananchi mapovu yanammwagika tuu! Kwani ni lazima wananchi wakukubali mzee?
 
Sasa vurugu kwenye mikutano itaanza rasmi.. Tumeshuhudia week mbili za mikutano ya kistaarabu ila kwa hili CCM lazima watoke na jambo lao na walikuwa wanasubiri pakuanzia.Polisi na vyombo vingine msikubali huu mtego wote wanaoleta vurugu za namna hii wachukuliwe hatua. Huwezi kusikiliza mgombea kaa nyumbani
 
Sasa kwani kosa likowapi? Wao wamebebwa wamekuja kusikiliza sera hawajaridhika nazo! Walipoulizwa ulitaka wajibu kinafiki?
 
Vurugu za nini wewe choko, kwani mgombea wa Ccm ametumwa kuwafokea wananchi?

Mbona wananchi wanamvumilia tu mahasira yake.
 
Vurugu za nini wewe choko, kwani mgombea wa Ccm ametumwa kuwafokea wananchi?

Mbona wananchi wanamvumilia tu mahasira yake.
Nafikiri una akili nzuri ya kufikiria na kuandika vizuri zaidi ya hichi ulichoandika.. Mbinu za hawa jamaa kutaka kuanzisha kitu ni nyingi. Wameona wapinzani wanafanya siasa za kistaarabu sana.
 
Kwani ni kweli??
 
Nafikiri una akili nzuri ya kufikiria na kuandika vizuri zaidi ya hichi ulichoandika.. Mbinu za hawa jamaa kutaka kuanzisha kitu ni nyingi. Wameona wapinzani wanafanya siasa za kistaarabu sana.
Ccm ni chama cha amani
 
Hii nyomi ya bukoba Mimi namashaka nayo nilichojiuliza kweli saa mbili watu wajae kiasi kile kama hii nyomi hii halali basi kuna jambo kubwa huyu mgombea kawafanyia watanzania
Kura hazitolingana na idadi ya watu anayopata
 
Kama hawafanyi kazi wanapata wapi pesa za kula bata kiasi hicho?
 
Hamja muuliza zile za tetemeko alizipeleka wapi?? Au kwa vile hakuleta yeye tetemeko ni sawa sawa yeye kula hela za maafa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…