Elections 2015 Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Karagwe - Septemba 22, 2015

Tatizo nimeligundua tabia ya kuiga kulikoenea kila kona ya nchi yetu ina maana huyo anayemuiga angevua suruali naye angeiga any tusishangae ndipo tulipofika sasa
 
 
Ni lazima tujiridhishe namna ya kuchanganua mambo juu ya hawa wagombea wetu,hususani presidential candidates...!

Kuhusu afya kutuondoa hofu ujajibu lkn umeamua kupiga push up,ni vema tena sana.

Lkn,vp ukiulizwa kwamba umeenda jando?utaprove vp?pls give us a break...

Uza sera
 

Attachments

  • 1442923526796.jpg
    29.3 KB · Views: 751
Jando ni muhimu maana kule utapata elimu ambayo huwezi kupata popote nje ya jando ... no wonder wananchi wanaomba meli yeye anaeleza mabarabara yenye mahandaki na ma-Calvert
 
Logic ya jambo hili nini,,,au ni sehemu ya sera / ilani ya chama au sehemu ya matatizo ya tanzania na watanzania?

Anawaonyesha wapiga kura kuwa ana afya njema na anaweza kuwa amiri jeshi mzuri kwa kuwa hata push up wanazofanya jeshini naye aweza.Au hujui kuwa Raisi ni kamanda wa Jeshi? Anatakiwa kuwa mkakamavu hasa. Hatakiwi kuwa legelege anayeweza hata kujisaidia haja kubwa hapo hapo alipokaa.
 

Waulize waganda amiri jeshi wao, BONDIA, FIELD MASHAL IDDI AMINI DADA aliwafanya nini? Na huyu naye ni wa kanda hiyohiyo, kalagabao!
 
Safi sana kiongozi.
 
Mkuu mbona JK alichaguliwa pamoja na kuondoka jukwaani
 
UKAWA tunawaambia kila siku, Ikulu sio Hospital ya Wagonjwa. Sasa mleteni Lowassa na yeye apige push ups tuone mwisho wako. Hii ndio habari ya Mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…