Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malori yamechelewa service?
Ni vizuri wawe wanawalaza pale pale mjini kuepuka ukweli huu wenye aibu kwao.
Jamaa kapiga pushup 20. Tunamwomba nanihii nae atupe 3 tu!
Aaah. Ni wakati huu wa kila aina ya vituko. Nadhani tujirekebishe mwaka ujao wa uchaguzi tuweke ukomo wa vituko.
hawa jamaa wanachosha sana. Yaan push up
Nitarudi.
mapokezi hafifu?? Lini walikuwa na mapokezi makubwa?
Lowassa hawezi iga vitu ambavyo avina influence katika kipindi hiki cha kampeini. Na wala Lowassa hawezi fanya sehemu isiyo sahii kila kitu kina mahali pake ukitaka mazoezi mfate gymm utamkuta jukwaani ni kunadi Sera
Mtu mwenye moyo wa bandia (kama wasemavyo UKAWA) hawezi kuhutubia dakika 50 kilasiku na kupiga push up, hili ndo jembe tunalolitaka sasa liko fit kila idara. Mmasai akiweza kupiga push up 1 tu namuahidi kumpa kura yangu
Kwenye red hapo tafadhari. sera gani anazonadi kwa dk 3
Unawashinda niniWananchi wa karagwe maskini wa kufa lakini hawataki kuamini katika hilo..
Acha dharauWananchi wa karagwe maskini wa kufa lakini hawataki kuamini katika hilo..
Acha upoyoyo kapiga pushups tatu tu kwa sekunde 15 na matako yakiwa juu juu.
Mheshimi Magufuli anaendelea kumtesa Lowassa kila nyanja, leo napiga "push-ups" mbele ya halaiki ya watu. Huu ni ujumbe tosha kwa Lowassa kuwa Ikulu sio sehemu ya kuchezea.
Haya sasa washabiki wa Ukawa, mleteni Lowassa na yeye atuonyeshe ujasiri huu.
![]()
Mheshimi Magufuli anaendelea kumtesa Lowassa kila nyanja, leo napiga "push-ups" mbele ya halaiki ya watu. Huu ni ujumbe tosha kwa Lowassa kuwa Ikulu sio sehemu ya kuchezea.
Haya sasa washabiki wa Ukawa, mleteni Lowassa na yeye atuonyeshe ujasiri huu.
![]()