Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wote wakali ila Achieng kazidi utulivuHivi kati ya Onyango na Wawa nani beki mkali?
FT muda wa kunyanyua kwapaDakika ya ngapi huko.
Asante sana.FT muda wa kunyanyua kwapa
Klila mtu ana ubora wake. Wawa hana mbio ni mbovu kwa mipira ya juu, ni mzuri kwa pasi fupi na ndefu zinazomfikia mlengwa pia anakaba kwa kutumia akili.Hivi kati ya Onyango na Wawa nani beki mkali?
kocha toa Mzamiru ingiza Ndemla
Hapana mkuu, wanadeserveMzamiru na dilunga
Walipaswa kuachwa wasajiliwe wengine
Hapana mkuu, wanadeserve
Kuna tatizo simba hawa wachezaji wanajituma sana mikataba yao inapokaribia kuisha ila hawastahili kuanza first elevenMzamiru na dilunga
Walipaswa kuachwa wasajiliwe wengine
Nan na nan ?!Kuna tatizo simba hawa wachezaji wanakituma sana mikataba yao inapokaribia kuisha ila hawastahili kuanza first eleven
Nakubaliana na wewe kbsa. Hawa wachezaji wanacheza ilimradi, uwezo wao ukiulinganisha na wachezaji km bwalya, mikisoni n.k. bado mdogo sn.Mzamiru na dilunga
Walipaswa kuachwa wasajiliwe wengine
Mkali mwituni.Mnyamaaaaa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Punguza hasira, Yanga wameshinda ngapi ?!mbwembwe nyiiingi eti oooh tunawapiga nyingi, kipigo cha mbwa koko...
mmeishia 2 bila, simba mpira ni uwanjani sio mdomoni wala mitandaoni