Yaliyojiri Ngao ya Jamii; Simba yaigonga Namungo 2-0 uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha

Yaliyojiri Ngao ya Jamii; Simba yaigonga Namungo 2-0 uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha

Hivi kati ya Onyango na Wawa nani beki mkali?
Klila mtu ana ubora wake. Wawa hana mbio ni mbovu kwa mipira ya juu, ni mzuri kwa pasi fupi na ndefu zinazomfikia mlengwa pia anakaba kwa kutumia akili.

Onyango ni bulldoza anatumia nguvu na akili, anacheza mipira ya juu, pasi za uhakika na ni mwepesi kuondoa mipira eneo la hatari wala hana mambo mengi, anatabia ya kuondoa haraka mipira eneo la golini.
 
mbwembwe nyiiingi eti oooh tunawapiga nyingi, kipigo cha mbwa koko...

mmeishia 2 bila, simba mpira ni uwanjani sio mdomoni wala mitandaoni
 
Mzamiru na dilunga
Walipaswa kuachwa wasajiliwe wengine
Nakubaliana na wewe kbsa. Hawa wachezaji wanacheza ilimradi, uwezo wao ukiulinganisha na wachezaji km bwalya, mikisoni n.k. bado mdogo sn.
Hata ndemla gemu na vital,o sehemu ya kutoa pasi ya mwisho yeye anapiga shuti mkaa. Mzamiru, dilunga na ndemla bado wanahitaji jitihada za ziada sana.
 
Back
Top Bottom