Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Kama kodi anazolipa baba yako na mama yako zingetafunwa na mafisadi hayo maji ungeyapata?We dhaifu sana kuleta maji sio hoja wametumia kodi zetu tena sio bure wamelipwa mishahara na posho kibao. SISI WATANZANIA NDIO WATU WAJINGA SANA MAANA NI WEPESI KUDANGWANYWA.
Futa uandike wali.Vipi meno hayaathiriki?,,maana kutafuna mchele si mchezo,,naomba unitumie mbegu ya mchele nami msimu unao nianzishe kilimo cha mchele huku dodoma.
Aanzishe yeye kwa wakija kujibu anarudi tena kimaliziaNashauri awe anasubiri anakopita CCM baada ya siku 2 Lissu anaenda kuzima hoja
Lisu kamkimbia JPM ilikuwa wakutane Tinde wasalimiane, Lissu akazuga kwenda kwanmganga wakienyeji alikopitia sijui kaibukia tabora
Haipangwi na NEC vyama vyenyewe ndio vilipeleka ratiba zao NEC zikaidhinishwa na NEC.Baada ya kuidhinishwa ndio kila chama kinaanza kuzunguka kwa kufuata ratiba yakeRatiba inapangwa na NEC hajipangii yeye.
Hahahahaha!!! Magu hawezi mdahalo na mtu yeyote. Hata wewe ukiamua kupiga naye mdahalo unamtoa knockout mjomba, tena unamchapa raundi ya kwanza.Likija swala la sera Lissu ni mweupe, Magu tu hataki kufanya mdahalo lakini anamtoa Lissu knockout kirahisi sana. Lissu anahemkwa tu hana ajualo zaidi ya hizo sheria zake, kitakwimu ni mweupe tu.
Kuna maeneo toka Uhuru wana maji ya kutosha,umeme na barabara za lami nzuri na bado kila uchaguzi jimbo linaenda upinzani.Mradi wa maji toka ziwa victoria umeshammaliza. Ccm wanazoa kura zote Tabora. Maana huu mradi umewapa credit kubwa sana ya kisiasa Ccm. Akina mama wa kinyamwezi hawawezi kumsikiliza mtu anaesema kuletewa maji tabora ni maendeleo ya vitu.
NEC wanachofanya ni kuhakikisha ratiba inafuatwa kama ilivyowakilishwa na chama husika bila longo longo na kuepusha migongano kama ya kuingiliana viwanja ,kuwa karibu na kusababisha mikelele,migongano na vurugu nk Kila mtu akimaliza aende zake mbele kwa mbeleSawa.
Lakini inaratibiwa na NEC
Mwambie wewe labda atakuelewaKuna maeneo toka Uhuru wana maji ya kutosha,umeme na barabara za lami nzuri na bado kila uchaguzi jimbo linaenda upinzani.
Wishing well to you TAL and the entire CDM family.Kwa Mujibu wa ratiba ya kampeni iliyotolewa na Chadema inaonyesha kwamba Mh Tundu Lissu leo atakuwa Tabora
=====
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
CHADEMA TUNDU LISSU leo Septemba 3, 2020, atazindua kampeni kwa Kanda ya Magharibi, uzinduzi ambao utafanyika katika viwanja vya Chipukizi mkoani Tabora.
You are too high to utter this low argument.Wewe huna hivyo vitatu?
Wewe huijui Ethiopia kinachowatesa( 1)ukabila(2)njaa(3)hali ya hewa( 4)civil war(5)wana ndugu wengi nje waliokuwa wakimbizi hapo zamani hivyo wanashawishiana(6)miji mingi midogo ina shida sana.Lissu Baba tukomboe katika hii vita ya kuminywa haki za binadamu. Ethiopia na madege yao Kama yote Pamoja na fly-overs lakini wanakimbia nchi kwenda kuwa manamba South Africa kwa uminywaji wa haki za binadamu nchini kwao.
Lissu tuvushe baba tuvuahe.
Music show. Wanatizama jinsi viuno vinavyokatwa na wasanii.Hivi umesikiliza kampeni za Magufuli ? hana hoja yoyote ya kujibiwa na Lissu , hata sijui wanamsikiliza wanapata nini
Lissu Hana hoja zake Hadi asubiri CCM waongee yeye aende akazime hoja? Kwa mpango huo mtasubiri Sana.Nashauri awe anasubiri anakopita CCM baada ya siku 2 Lissu anaenda kuzima hoja
Kupingwa risasi 16, Robert Amsterdam kaandika barua, Ana kesi nyingi. Ndo hoja zake.Lisu ana hoja gani?
Nawe Hadi leo hujakimbia tuu?Lissu Baba tukomboe katika hii vita ya kuminywa haki za binadamu. Ethiopia na madege yao Kama yote Pamoja na fly-overs lakini wanakimbia nchi kwenda kuwa manamba South Africa kwa uminywaji wa haki za binadamu nchini kwao.
Lissu tuvushe baba tuvuahe.
Wewe umemsikiliza Magufuli ukaona Hana hoja, ulipata Nini?Hivi umesikiliza kampeni za Magufuli ? hana hoja yoyote ya kujibiwa na Lissu , hata sijui wanamsikiliza wanapata nini