Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Tabora: Tundu Lissu (CHADEMA), azindua Kampeni Kanda ya Magharibi katika viwanja vya Chipukizi

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Tabora: Tundu Lissu (CHADEMA), azindua Kampeni Kanda ya Magharibi katika viwanja vya Chipukizi

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]watu mna maneno
Lisu kamkimbia JPM ilikuwa wakutane Tinde wasalimiane, Lissu akazuga kwenda kwanmganga wakienyeji alikopitia sijui kaibukia tabora
 
Ratiba inapangwa na NEC hajipangii yeye.
Haipangwi na NEC vyama vyenyewe ndio vilipeleka ratiba zao NEC zikaidhinishwa na NEC.Baada ya kuidhinishwa ndio kila chama kinaanza kuzunguka kwa kufuata ratiba yake

Ndio maana unaona vingine ratiba zao mikoa michache tu

Ratiba ya kampeni ya uraisi huzunguki tu kama gari bovu ni kwa ratiba approved uliyopeleka mwenyewe
 
Likija swala la sera Lissu ni mweupe, Magu tu hataki kufanya mdahalo lakini anamtoa Lissu knockout kirahisi sana. Lissu anahemkwa tu hana ajualo zaidi ya hizo sheria zake, kitakwimu ni mweupe tu.
 
Likija swala la sera Lissu ni mweupe, Magu tu hataki kufanya mdahalo lakini anamtoa Lissu knockout kirahisi sana. Lissu anahemkwa tu hana ajualo zaidi ya hizo sheria zake, kitakwimu ni mweupe tu.
Hahahahaha!!! Magu hawezi mdahalo na mtu yeyote. Hata wewe ukiamua kupiga naye mdahalo unamtoa knockout mjomba, tena unamchapa raundi ya kwanza.
 
Ngoja tuweke kabisa picha za mkutano wa Lowasa hapo Tabora 2015 msije chakachua mkasema wa Lisu

1599132379513.png

1599132451602.png
 
Mradi wa maji toka ziwa victoria umeshammaliza. Ccm wanazoa kura zote Tabora. Maana huu mradi umewapa credit kubwa sana ya kisiasa Ccm. Akina mama wa kinyamwezi hawawezi kumsikiliza mtu anaesema kuletewa maji tabora ni maendeleo ya vitu.
Kuna maeneo toka Uhuru wana maji ya kutosha,umeme na barabara za lami nzuri na bado kila uchaguzi jimbo linaenda upinzani.
 
Sawa.
Lakini inaratibiwa na NEC
NEC wanachofanya ni kuhakikisha ratiba inafuatwa kama ilivyowakilishwa na chama husika bila longo longo na kuepusha migongano kama ya kuingiliana viwanja ,kuwa karibu na kusababisha mikelele,migongano na vurugu nk Kila mtu akimaliza aende zake mbele kwa mbele
 
Kwa Mujibu wa ratiba ya kampeni iliyotolewa na Chadema inaonyesha kwamba Mh Tundu Lissu leo atakuwa Tabora

=====

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
CHADEMA TUNDU LISSU leo Septemba 3, 2020, atazindua kampeni kwa Kanda ya Magharibi, uzinduzi ambao utafanyika katika viwanja vya Chipukizi mkoani Tabora.
Wishing well to you TAL and the entire CDM family.
 
Lissu Baba tukomboe katika hii vita ya kuminywa haki za binadamu. Ethiopia na madege yao Kama yote Pamoja na fly-overs lakini wanakimbia nchi kwenda kuwa manamba South Africa kwa uminywaji wa haki za binadamu nchini kwao.

Lissu tuvushe baba tuvuahe.
Wewe huijui Ethiopia kinachowatesa( 1)ukabila(2)njaa(3)hali ya hewa( 4)civil war(5)wana ndugu wengi nje waliokuwa wakimbizi hapo zamani hivyo wanashawishiana(6)miji mingi midogo ina shida sana.
 
Lissu Baba tukomboe katika hii vita ya kuminywa haki za binadamu. Ethiopia na madege yao Kama yote Pamoja na fly-overs lakini wanakimbia nchi kwenda kuwa manamba South Africa kwa uminywaji wa haki za binadamu nchini kwao.

Lissu tuvushe baba tuvuahe.
Nawe Hadi leo hujakimbia tuu?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom