Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Tabora: Tundu Lissu (CHADEMA), azindua Kampeni Kanda ya Magharibi katika viwanja vya Chipukizi

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Tabora: Tundu Lissu (CHADEMA), azindua Kampeni Kanda ya Magharibi katika viwanja vya Chipukizi

Hata hao waliopo hawana kadi za kupiga kura. Halafu wamekusanyika hapo Tweeter na facebook ya Tabora.
😅😅😅 majaliwa tu kawazidi huko longido.
Na leo hawataki kurusha vipicha vya juu tuwaone wote.
 
Nomba picha hata moja tu ya mafuriko makamanda
Watu wachache sana
IMG_20200903_162243.jpg
 
Lissu Baba tukomboe katika hii vita ya kuminywa haki za binadamu. Ethiopia na madege yao Kama yote Pamoja na fly-overs lakini wanakimbia nchi kwenda kuwa manamba South Africa kwa uminywaji wa haki za binadamu nchini kwao.

Lissu tuvushe baba tuvuahe.
Kwani wewe umeingiliwa kinyume na maumbiele?
Au umelazimishwa ku sex na mtu kwa lazima?
Haki gani za binadamu umeondolewa hapo ulipo?
 
Juu apige wapi? Hapo wamepiga kwa mbele, kuna watu wanapiga kwa nyuma.
Sijui wanamuongopea nani? We hujiulizi kwa nini hawaweki hata video clip
Kiufupi watu hakuna
Aisee.. Hebu piga ya juu tuone!

Kwanini chadema siku hizi mnaogopa sana picha za juu?
 
Kwani wewe umeingiliwa kinyume na maumbiele?
Au umelazimishwa ku sex na mtu kwa lazima?
Haki gani za binadamu umeondolewa hapo ulipo?
bwana mdogo huyawezi matusi , shut up .
 
Jibu unalo unafanya mdahalo
kujadili Ccm dhidi ya chama gani? Ccm imekuwa tamu kwa kila namna. Maana leo tu umesikia JPM alivyokuwa anatiririka namna Ccm itavyowafanyia mazuri watanzania. Sasa utadebate nini leo hii? Ccm inakubalika in short.

Bwahaaa bwahaaaa, nimecheka kwa nguvu ile mbaya mpaka watu wakaniangalia. I wish ningekuona nahisi utakuwa ni bonge la mzee. Kwakuwa simba na yanga ndio timu zinazokubalika hapa nchini, basi tusijadili mambo ya mpira maana tayari simba na yanga zinakubalika? Eti leo Magufuli alikuwa anatiririka mazuri hivyo hakuna cha kujadili.

Huyo 2015 na kuendelea si ndio alikuwa anatamka kuwa Tanzania ya Magufuli itakuwa ya viwanda, sasa hivi anatamka tena hilo neno? Au watanzania wote wanaohitaji ajira tayari wako viwandani? Ana miradi miwili ya 15t+, mpaka sasa hajafikisha hata 7t kwenye hiyo miradi, ni wapi atapata 10t ya kukamilisha hiyo miradi ndani ya 5yrs mpaka aahidi mambo mazuri?
 
Back
Top Bottom