Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Media zote zimeacha kutangaza baada ya Ruto ku hack system na kujiongezea kura 100K. Hazitatoa tena live updates zimekatazwa zote
Acha uongo bhana, Ruto angekuwa "incumbent president" huenda ungekuwa sahihi, Ila Ruto ni mpinzani tu kwa sasa hana nguvu za kidola kufanya hayo.

Ukweli ni kuwa ushindani kati ya Rutto na Raila ni mkubwa mno ndio maana mengi kama hayo ya kizushi yanaibuka.
MK254 Tony254 Victoire
 
Ni 50% plus one vote!
Hebu tuwekane sawa, mshindi anatakiwa awe na kura 50% plus 1 vote? Au 50% plus 1%?
Hebu tuelewane hapa kwanza, maana shule zetu za kata ni janga la Taifa mtu hadharani anacomment bila wasiwasi halafu Wakenya wanatucheka.
 
50% + Kura MOJA HALALI.

Mfano
Total votes 1201
Cand 1 amepata 601
Cand 2 amepata 600

Ukiweka kwa % hao wote itasoma 50% but kuna mmoja hapo amepata 50% + Kura moja.
 
Total votes zilizokua calculated tayari ni 99.99%.... hata mmojawapo apate kura zote zilizobaki hatoboi 50%

Sijui sheria inasemaje hapo, kama ni second round au mseto. Mliopitia hicho kipengele mtujuze
Marudio
 
50% + Kura MOJA HALALI.

Mfano
Total votes 121
Cand 1 amepata 61
Cand 2 amepata 60

Ukiweka kwa % hao wote itasoma 50% but kuna mmoja hapo amepata 50% + Kura moja.
Sheria inasema mshindi apate kura zaidi ya 50%

Sasa 50% kwa 50% unashinda vipi?
 
Hebu tuwekane sawa, mshindi anatakiwa awe na kura 50% plus 1 vote? Au 50% plus 1%?
Hebu tuelewane hapa kwanza, maana shule zetu za kata ni janga la Taifa mtu hadharani anacomment bila wasiwasi halafu Wakenya wanatucheka.
Kulingana na Katiba yao ni 50% + 1.
Tambua wagombea wako wa nne hivyo basi kwa yeyote akifanikiwa kufika nusu ya kura zote yaani 50% ataitaji kura 1 tu ya kumpa kiti cha Uraisi.

Pia, kwa wale wagombea waliobaki hakuna atakaefika 50% kwani watakuwa wamegawana atakawa hao wawili watapa 0.8% bado haitamsaidia atakaepata 49.92%.

Nafikiri hii ni kuzuia kwenda duru ya pili ya uchaguzi kwani ni gharama mno.
 
Total votes zilizokua calculated tayari ni 99.99%.... hata mmojawapo apate kura zote zilizobaki hatoboi 50%

Sijui sheria inasemaje hapo, kama ni second round au mseto. Mliopitia hicho kipengele mtujuze
Kwa maelezo ya mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Kenya, naona kutakuwa na second round but mseto sidhani kama Ruto atakubali huo ujinga.

Na kwa uhalisia tunaouona mpaka sasa hakuna mshindi wala anayeweza kupata 50.1% ya kura zote.

Na huu mchezo umechezwa makusudi kabisa kwa jinsi ambavyo jamaa atakiwi kupewa nchi.
 
Huu uchaguzi ili kuondoa utata wakubali gharama wanende second round vinginevyo itakuwa fujo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…