Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Can't understand if you're a reporter or just UDA fan.
 
Ruto ana mtoto mkubwa tu tena ni advocate
 
Hayo ni maoni yako kuwa Tanzania hakuna upinzani. Kwanini hamsemi ukweli kuwa Tanzania CCM na dola wanashirikiana kuonea wapinzani?....
Sasa hivi wapinzani wanarelax tu na kushangilia mama anaupiga mwingi ikifika wakati wa uchaguzi mnaanza kususa. Hakuna chama mbadala wa CCM. Wapinzani wenyewe ndio hao ? Hauko serious.
 
Hapa nitakuletea Matokeo ya Urais nchini Kenya Kama yanavyoendelea kutangazwa na tume ya Taifa ya UCHAGUZI na Mipaka ya IEBC. Hapa nitaleta matokeo ya Wagombea 2 TU Vigogo ambao ndio Kura zao zinakaribiana Sana.

Raila Odinga - 49.40 %

William Ruto - 49.33%

Total Votes Counted : 2,496,312.
 
Nilishatabiri Ruto ndie Rais ajaye wa Kenya. Na makamu wake Brilliant Ragath Gachagua. Mungu hawezi kumruhusu Raila awe Rais. Tunataka future iliyotengamaa Africa Mashariki na maziwa makuu kwa ujumla. Na huu mustakabal ni Ruutoo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…