Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Inaelekea nyumbani hata king'amuzi huna cha kuangalia live tv station za Kenya.

Ungekuwa unaangalia live usingeandika haya mataputapu yako.
 
WILLIAM SAMOEI RUTO AMESHINDA UCHAGUZI, mpeni haki yake. Kenya mmesifika kwa demokrasia, Sasa tena nini mnataka fanya?
 
atwol anapenda sifa balaa, wakati wa covid lockdown aliwahi kuita band ya wacongo nyumbani wakamuimbia nyimbo za rumba huku wakitaja jina lake. yeye akawa anafurahi tu.
Huyu Atwoli Ndo namfaham Leo humu jamvin licha ya upeo wangu wa geopolitics kwaanzia homu bongo Africa mashariki sadc na maziwa makuu kwa ujumla. Ngoja nimgoogle.

Ruto The president maamaee
 
Huyu Atwoli Ndo namfaham Leo humu jamvin licha ya upeo wao wa geopolitics kwaanzia homu bongo Africa mashariki sadc na maziwa makuu kwa ujumla. Ngoja nimgoogle.

Ruto The president maamaee
Muosha huoshwa. Hii ni zamu yenu kuoshwa na mzee ya Kitendawili. Mmeshamuosha sana huyu mzee.
 
Huyu Atwoli Ndo namfaham Leo humu jamvin licha ya upeo wao wa geopolitics kwaanzia homu bongo Africa mashariki sadc na maziwa makuu kwa ujumla. Ngoja nimgoogle.

Ruto The president maamaee
kama atwol atwoki humjui basi usijiite unaijua siasa za Afrika mashariki.
Period
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…