Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Inaelekea nyumbani hata king'amuzi huna cha kuangalia live tv station za Kenya.Kuna kila dalili Hali si shwari kwa Raila mtu ambaye rais Kenyata amekua akimpambania sasa kinachoendelea ni ujanja ujanja wamuengue Ruto ambaye ndiyo yaonesha ni chaguo la wengi
Huko kitanuka tu tusubirie
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Ungekuwa unaangalia live usingeandika haya mataputapu yako.