Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Kuna kila dalili Hali si shwari kwa Raila mtu ambaye rais Kenyata amekua akimpambania sasa kinachoendelea ni ujanja ujanja wamuengue Ruto ambaye ndiyo yaonesha ni chaguo la wengi

Huko kitanuka tu tusubirie

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Inaelekea nyumbani hata king'amuzi huna cha kuangalia live tv station za Kenya.

Ungekuwa unaangalia live usingeandika haya mataputapu yako.
 
Ruto lawyers wako na legal battles kwa zuio lililojitokeza juu ya kuapishwa kwao

NB: It's seems wanaamini wameshashinda
Screenshot_20220812-154632.jpg
 
WILLIAM SAMOEI RUTO AMESHINDA UCHAGUZI, mpeni haki yake. Kenya mmesifika kwa demokrasia, Sasa tena nini mnataka fanya?
 
atwol anapenda sifa balaa, wakati wa covid lockdown aliwahi kuita band ya wacongo nyumbani wakamuimbia nyimbo za rumba huku wakitaja jina lake. yeye akawa anafurahi tu.
Huyu Atwoli Ndo namfaham Leo humu jamvin licha ya upeo wangu wa geopolitics kwaanzia homu bongo Africa mashariki sadc na maziwa makuu kwa ujumla. Ngoja nimgoogle.

Ruto The president maamaee
 
Huyu Atwoli Ndo namfaham Leo humu jamvin licha ya upeo wao wa geopolitics kwaanzia homu bongo Africa mashariki sadc na maziwa makuu kwa ujumla. Ngoja nimgoogle.

Ruto The president maamaee
Muosha huoshwa. Hii ni zamu yenu kuoshwa na mzee ya Kitendawili. Mmeshamuosha sana huyu mzee.
 
Huyu Atwoli Ndo namfaham Leo humu jamvin licha ya upeo wao wa geopolitics kwaanzia homu bongo Africa mashariki sadc na maziwa makuu kwa ujumla. Ngoja nimgoogle.

Ruto The president maamaee
kama atwol atwoki humjui basi usijiite unaijua siasa za Afrika mashariki.
Period
 
Back
Top Bottom