Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Nikupe video ya watu wa usalama wanaomlinda Raila hv sasa!!??

Cheap (propaganda) can't work sir
 
TAARIFA:, Kwa wale mliopo humu JF tangu juzi mnasubiria matokeo hambanduki mnashauriwa kwenda kufanya mambo mengine. Inasemekana matokeo rasmi yatatangazwa kuanzia jumatatu saa 6 mchana, saa za Africa Mashariki.
 
Usikariri hata wasukuma hawakutahiriwaga lkn sasa hivi watu wanakatwa magovi.
mmh labda nikuwe wazi binafsi hilo la swala do not matter to me..kila mtu anahuru wakuchagua kile anapenda sioni hoja kwenye hilo ni private issue..ila usipinge kwamba halipo
 
exactly! umenikumbusha kisa kimoja cha,nilijipinda nikanunua gari aina ya ALPHARD,nikajua washkaji watanipongeza,lkn badala yake wakawa wani diss nimenunua gari ya kike, sikupanic wala sikuchukia nilichukulia Kama utani tuu,maisha yanaendelea
 
Uchaguzi nchini Kenya ulifanyika mnamo tarehe 08.08.2022 na matokeo yameendelea kutolewa, lakini kwa leo sijapata update. Naomba update!
 
Kenya isopochapana mapanga tena awamu hii haitachapana tena hadi dunia itakapo isha. Nanusa harufu ya umwagikaji damu
Acha kushabikia upumbavu Jinga kabisa, unadhani Wakenya hawaijui thamani ya uhai?

Upo nyuma ya keyboard unajamba jamba tu, nenda kaanze kuwachapa mapanga shangazi zako kwanza.
 
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imekamilisha kuhesabu Kura kutoka vituo 46,203 kati ya vituo 46,229 ambapo bado vituo 26 ili kupata jumla ya Kura zote
-
Kwa mujibu wa Matokeo ya Nation Media kufikia leo saa 11:20 jioni, Mgombea Urais wa UDA, William Ruto bado alikua akiongoza kwa idadi ya Kura 6,703,493 = (49.91%) dhidi ya Raila Odinga, Mgombea wa Azimio mwenye Kura 6,636,849 = 49.41%
-
Mshindi wa Kiti cha Urais anahitaji kupata 50% ya kura halali zilizopigwa, pamoja na 25% ya kura kutoka kwenye kaunti 24
 
IEBC mpaka sasa wamekamilisha kuhakikia vituo vitano (5) tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…