Punguza kujieleza, afu mbona jamaa katumia neno la kawaida?? Level of panicking kwako iko juu mno, unaishi as ifu watu wanakujua unapoishi, unachovaa, nk. Hii mitandao tu, isikutoe kwenye reli, ukaanza kujiona unaonewa as if kuna mtu anakujua hata uone unavunjiwa heshima hapa.
Yaan uchukie jamaa kusema PUMBA?? kumbuka kila mmoja na mtazamo wake, mwingine anaona umeshusha NONDO na mwingine anaona umeshusha UPUPU.
Jifunze kukubali mawazo ya watu na maono tofauti kwa watu wengine, sio wote wataelewa ulichoandika, na si kila kitu unacholea jamaa anakidiss, that's not true at all... Jifunze kupokea negative comments, wewe sio Saint kwamba hukosei, hukosolewi nk.
Ishi maisha yako, diss zipo, hata kwenye maisha halisi, je huko unamshtakia nani????
Acha ujinga.