Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Kenya Elections 2022

William Ruto

UDA

49.91%

6,703,493 Votes

Raila Odinga

AZIMIO

49.41%

6,636,849 Votes

George Wajackoyah

RPK

0.44%

59,461 Votes

David Waihiga

AGANO

0.23%

31,278 Votes

PROVISIONAL RESULTSOFFICIAL RESULTS

13,431,081Total votes tallied

41,575 of 46,229Polling stations reporting

The winner of presidential elections needs 50% + 1 of the valid votes cast and at least 25% votes in more than 24 counties



Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Haya ni matokeo jana usiku wewe
 
Media zote kwa sasa hazitoi tena matokeo ya awali ya urais huku ikiwa zimebaki form 34A 26 tu kati ya 46.229 kuwa uploaded kule IEBC.

Nafikiri kile tulichotilia shaka "wenye akili timamu" kuhusu hatma ya huu uwazi wa kila mtu kujijumlishia matokeo na kuchapa wamekiona na wao pia.

Iwapo wataziatamia hizo form 26 wikiendi nzima ilhali hizi 46,203 zimehesabiwa kwa siku tatu tu watajikuta kulekule ambako chaguzi za Africa zipo.

Kutokuaminiana!
 
Ww umemjua odinga mwaka huu? Tena kati ya mtu ambae hana pressure ni yeye, kapita vigingi vizito yeye na atwol mmiliki wa citizen walifungwa na daniel arap moi kipindi flani, yee hawezi pata stress na vitu Kama hivyo
angalia kura alizo pata Babu Nakuru/bongoma ambapo ndio ngome yake kabwaga vibaya sana na Ruto ukilinganisha na kura alizo pata 2017.
Ruto kaonyesha ubabe wa hali ya juu kuliko Rais yeyote aliye wahi kugombea.
Ruto ndiye mgombea pekee aliye vuna kura za makabila yote ya kenya, hivyo Ruto ndiye atakuwa Rais bora wa kenya.
 

If again there is no winner after a re-run what does the constitution say? Mwagika yote, tiririka yote ili tuelewe vizuri!
 
Hii taarifa yako ni batili utakuwa umechukua matokeo ya nation Africa ambayo ni ya toka usiku
 
subiri kwanza, kura zipo kwenye mitambo ya kuzichakata, michakato ikikamilika matokeo yatatangazwa. Hakuna uchaguzi usio na michakato duniani, terms and conditions should be met to meet bwanyenyez requirements.
 
Kuna uchaguzi ulifanyika inchini Kenya mnamo tarehe 08.08.2022 na matokeo yameendelea kutolewa. Lkn kwa Leo sijapata update naomba update

UCHAGUZI KENYA: Maafisa wa Tume wameitisha Kikao cha Dharura baada ya sintofahamu kutokea katika Ukumbi wa kuhakiki kura za Urais, baada ya Kompyuta kuingizwa ukumbini kinyume na Taratibu

Mchakato wa uhakiki umeahirishwa

Soma LIVE - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: Ruto na Odinga wanaendelea kuchuana vikali katika matokeo ya awali

#KenyaDecides2022
 
kesho mapema nachinja jogoo langu kusherehekea Ushindi mnono wa ma hustlers .
Ruto oyeeeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…